Ni corrupt regime ndiyo huwa ina tabia hizi. Hukuona hata Lissu aliposema Abdul alimfuata kumhonga, walisema apeleke ushahidi? Nchi nyingine mwananchi anapotoa tuhuma za uhalifu polisi huingilia kati haraka sana.Wakuu,
Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa.
Sasa kazi hii imegeuka lini kuwa ya wananchi? Imegeuka lini kuwa ya mtoa taarifa? Yaani mtoa taarifa akupe tukio halafu yeye mwenyewe akachunguze, sasa nini kazi ya Polisi? Nini kazi ya TAKUKURU na vyombo vingine?
Kama mimi mtoa taarifa inabidi nifanye kazi ya kuthibitisha kwanini tunakuwa na vyombo vya kuchunguza? Polisi, Serikali na wasemaji wenu yaani inawezekana hata punguani akawa na afadhali kuliko huu upuuzi mnafanya.
Mtu anatoa tuhuma, badala ya uchunguzi kufanyika kwa kilichoamshwa, mtoa taarifa ndio anakuwa mtuhumiwa! Yaani yeye ndio anaanza kusakwa! We umeona wapi huu upuuzi duniani?
Gerson Msigwa wewe ni disgrace na takataka kwa taifa, Murilo, Misime hamna tofauti kabisa! Ni rubbish kila sehemu, fagio la maana linatakiwa kupita kuondoa huu uchafu wote. Ni kama hatuna polisi wakati huu, kila Mtanzania analinda uhai na mali zake!
Imagine, badala ya uchunguzi kufanyika mtoa taarifa ndio unakuwa suspect au kuwa treated kama jambazi! Watu wa hovyo kabisaNi corrupt regime ndiyo huwa ina tabia hizi. Hukuona hata Lissu aliposema Abdul alimfuata kumhonga, walisema apeleke ushahidi? Nchi nyingine mwananchi anapotoa tuhuma za uhalifu polisi huingilia kati haraka sana.
π€π€π€ taarifa unayotoa ni tip tosha wao kufanya kazi yao, ndio maana tuna vyombo hivyo kuthibitisha tuhuma husika, si kazi ya mtoa taarifa kuprove alichosemaπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈUnapo ripoti jambo pia uwe na ushahidi japo kidogo. Zaidi naona unakuwa umbea na maoni binafsi
Una hoja kuntu,@Gerson Msigwa wewe ni disgrace na takataka kwa taifa, Murilo, Misime hamna tofauti kabisa! Ni rubbish kila sehemu, fagio la maana linatakiwa kupita kuondoa huu uchafu wote. Ni kama hatuna polisi wakati huu, kila Mtanzania analinda uhai na mali zake
Wewe na hao wapuuzi kuna kitu mnafanana, scenario ya mtu kukufia ni jambo jingine.... matukio yanayotokea nchini watoa taarifa wanakuwa wamefiliwa na mtu ndani na wao kuwa prime suspect? Waliotekwa na kupatikana walitoa taarifa na statements juu, nini kimefanyika?Kutoa taarifa tu hakukufanyi usihojiwe ikiwepo sababu za kukuhoji.
Mfano akiuawa mke mume anakuwa prime suspect hata kama mume ndio mtoa taarifa.
Ukiwa huna cha kuficha unaogopa nini kuhojiwa kuhusu taarifa uliyoitoa?
Taarifa pekee hai solve crime bali ndio mwanzo wa process nzima ya kusaidia upelelezi.
Kama taarifa yako inahitaji maelezo zaidi unasita nini kuitoa?
Wakati huohuo wenyewe wanakwambia tipping off ni kosa kisheria ukifanya kwa mharifu.π€π€π€ taarifa unayotoa ni tip tosha wao kufanya kazi yao, ndio maana tuna vyombo hivyo kuthibitisha tuhuma husika, si kazi ya mtoa taarifa kuprove alichosemaπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
Jaribu kusoma na kuelewa. Unapotoa taarifa ya kuhusu jinai ni lazima taarifa yenyewe ichunguzwe ili isiwe ni uzushi au majungu.Wewe na hao wapuuzi kuna kitu mnafanana, scenario ya mtu kukufia ni jambo jingine.... matukio yanayotokea nchini watoa taarifa wanakuwa wamefiliwa na mtu ndani na wao kuwa prime suspect? Waliotekwa na kupatikana walitoa taarifa na statements juu, nini kimefanyika?
Turudi kwenye mada, wamepewa vielelezo vyote na sehemu za kuanza nazo, wanataka watu watoe maelezo ya nini na kutreat watoa taarifa kama wao ndio majambazi?
Hiki umeweka ni kinyume na lengo la uzi..... though tunakoenda wananchi wataanza kuside na wahalifu kweli ili kuwamaliza polisi, maana wameonesha clearly ni maadui zetuWakati huohuo wenyewe wanakwambia tipping off ni kosa kisheria ukifanya kwa mharifu.
Sasa umstue mharifu kuwa polisi wanamlia mingo ama muuza mhadarati.. kisha akwambie lete ushahidi kama kweli polisi wanammendea.
Umesema vizuri sana, maelezo ya ziada (sicho hicho umeandika mwanzo) kwa matukio yote yaliyotokea nchini watu mbalimbali wakatoa taarifa wamewahi kufanya huo uchunguzi halafu wakakwama na kuhitaji maelezo mengine?Jaribu kusoma na kuelewa. Unapotoa taarifa ya kuhusu jinai ni lazima taarifa yenyewe ichunguzwe ili isiwe ni uzushi au majungu.
Ndio sababu ikihitajika utoe maelezo ya ziada ili kusaidia upelelezi.
Haina maana kwamba wewe ni mhalifu.Ni lazima ifanyike due process ili kujiridhisha kwamba unachosema ni kweli na kita hold kikipelekwa kwa wanasheria wa Serikali.
Unaingiza hisia kwenye jambo la kisheria.Sativa,Lissu na Polepole wote wanatoa tuhuma kwenye vyombo vya habari na sio kunakohusika.Chukua mfano wa Kaka yake Polepole anadai Polepole ametekwa na yeye ndio shahidi ukiitwa utoe maelezo ya ziada ili kurahisisha upelelezi unaingia mitini na kuzua tuhuma kwamba unayodai sio ilivyotokea.Kama kweli unajua unachotolea ushahidi kimetokea unaogopa nini kutoa ushahidi?Umesema vizuri sana, maelezo ya ziada (sicho hicho umeandika mwanzo) kwa matukio yote yaliyotokea nchini watu mbalimbali wakatoa taarifa wamewahi kufanya huo uchunguzi halafu wakakwama na kuhitaji maelezo mengine?
Mtu anatoa taarifa hapo hapo unatumiwa summons uje utoe maelezo, uje uthibitishe tuhuma zako!
Sativa hakutoa maelezo mpaka kachoka? Nini kilifuata?ππ eeeeh Mkuu, Vipi kuhusu Lissu, Polepole na wengine wengine wengi kuna uchunguzi unefanyika baada ya statement zao na wako na taarifa za kutosha hata sisi hatuhitaji D2 kuona ushenzi wanaofanya
Mkuu tuache bana!