Unaingiza hisia kwenye jambo la kisheria.Sativa,Lissu na Polepole wote wanatoa tuhuma kwenye vyombo vya habari na sio kunakohusika.Chukua mfano wa Kaka yake Polepole anadai Polepole ametekwa na yeye ndio shahidi ukiitwa utoe maelezo ya ziada ili kurahisisha upelelezi unaingia mitini na kuzua tuhuma kwamba unayodai sio ilivyotokea.Kama kweli unajua unachotolea ushahidi kimetokea unaogopa nini kutoa ushahidi?