Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

Sijui jamani maana niupotolo mnaachika tu , sasa mishanga yanini kuna kungwi mmoja ameibiwa bwana unajua mume au mwanaume sii wa kumsotea sotea hela uwe na maisha mazuri
 
Kiukweli wazaramo wanawake sio misungo, sisi ambao hatujapelekwa mkoleni tukiwauliza hawasemi ng’oo. Wanaishia kutupiga siasa tu πŸ˜€

Na mimi kama nyie nasubiri majibu hapa.
 
Pengo la mafunzo ya jandoni limejitokeza kupitia post hii
 
Kama shanga ni uchawi nami sharogwa
 
Hawatoi maelezo ya kutosha wanapindisha maelezo yaani kila mtu anajitia anajua ila anakuweka kwenye blacket kumbe nae kawekwa hivyohivyo
 
Wengi wanaiga kwasababu ni kitu kinachopendezesha miili yao, heri ya shanga unaweza pata jibu kuwa ni ili kiuno kijichonge,vipi kuhusu Vikuku je?

anyway all in all wanafanya kwa ajili yetu wanaume,hamna anaevaa shanga kwa ajili yake binafsi na ndio mana wengine kama hana ratba ya kuja kwako havai.

Binafsi nazipenda ila sio shanga napenda Cheni haya mashanga ya kimasai ambayo yakikatka yanadondosha vipunje mwanamke akivaa namuona mswahili sana,hazinivutiiii.

Kuna cheni nzuri sana za viunoni zina vigololi safi classic ukizichezea kiunoni mwa mdada yes unahisi uko na mtoto wa kihindi.

wadada jipambeni sisi tunapenda, maswala ya kazi yake nini achaneni nayo komaeni na urembo.
 
Kuna wazaramo humu watakuambia subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…