Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Usiombe shanga ikushike vzzz.....
Kazi zake wanaleta wenzangu
Kazi zake wanaleta wenzangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengo la mafunzo ya jandoni limejitokeza kupitia post hiiHabari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?
Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu,
"Ukipata anaejua matumizi yake...."
Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.
Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6
Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.
Unapokea hundi ya malipo?Anipe hela nimpe majibu na mifano hai😀😀😀
Kama shanga ni uchawi nami sharogwaShanga kitaalamu
Kwa mtoto mdogo huwa anafungwa kamba kiunoni hiyo kamba inafungwa dawa au mkaa au kitu chochote cha baharini kwa ajili ya ulinzi
Kwa mwanamke shanga anakuwa amefunga madawa yake ili akukamate vizuri
Huwezi kuyaona kwa macho ya kawaida
Ila mwanamke anayevaa shanga kwenda kwa mganga ni kugusa
Wengine wanavaa wanaamini litachonga shepu zao waonekane wana viuno vya kunyanyua shanga
Lastly ni kuiga
🤣🤣🤣🤣🤣🤣We zombie haujui😀😀
😂😂😂Usiombe shanga ikushike vzzz.....
Kazi zake wanaleta wenzangu
Kibane bane, mwisho kiliwe na nyerere 🌚Weee Zombieee haujuii
Simba la masimba Dangote
No badi ehee heee heee
Aahayaaaaa
Sirasahauuuu😁😁😁😁😁😁Usiombe shanga ikushike vzzz.....
Kazi zake wanaleta wenzangu
Kataa ndoa unafanya nini huku😀😀Kama huyo kwenye avatar ni wewe, basi mimi Niko tayari kukupa hizo HELA.
#YNWA
Nacheka ka fala😀😀Weee Zombieee haujuii
Simba la masimba Dangote
No badi ehee heee heee
Aahayaaaaa
Kuna wazaramo humu watakuambia subiriHabari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?
Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu, "Ukipata anaejua matumizi yake...."
Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.
Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6 Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.
Ndiyo maana siku hizi hata kuwasalimia tunaogopa, maana kila kitu lazima muombe hela!Anipe hela nimpe majibu na mifano hai😀😀😀
Kutomba hakuna uhusiano wowote na ndoa.Kataa ndoa unafanya nini huku😀😀