Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Inaonekana wengi wanavaa hawajui matumiz yake 😀😀😀Bila shaka wajuvi washashusha nondo!!
Na huu ndioo ukweli wenyewee shangaa ni urembo tu wa kiunoni kwa mwanamkee nothing seriousShanga ni urembo kama urembo mwingine, ni kama wanaovaa cheni shingoni, kiunoni, mikononi, miguuni, wapo wanaovaa shanga sehemu hizo pia....
Kama hupendelei urembo huo, zungumza na mwenzio aache.
Kweli hata mie sijui mdogo wangu hebu nifunde dadako kwanzaaa ukute Ndiomana naachika🤓🤣!Inaonekana wengi wanavaa hawajui matumiz yake 😀😀😀
😀😀Kutomba hakuna uhusiano wowote na ndoa.
#YNWA
Hilo si la msingi wala halina umuhimu tulia 😀😀Ndiyo maana siku hizi hata kuwasalimia tunaogopa, maana kila kitu lazima muombe hela!
😂😂😂Ndugu mdogowako nishaachwa mara 1556 hapa nilipo ningekuwa najua hayo mbona ningeshukuru😂😂Kweli hata mie sijui mdogo wangu hebu nifunde dadako kwanzaaa ukute Ndiomana naachika🤓🤣!
Unatoa macho tu na kubana pumzi bila kupiga keleleSirasahauuuu😁😁😁😁😁😁
.Ntaanza na kazi za shanga kwa mwanamke,yani mwanaume inabidi azifanyaje pili ntafwata kazi ya shanga kwa mwanaume,yani jinsi mwanamke anavyotakiwa kuzifanya kwa mwanaume
We fala nimecheka kinoma[emoji3][emoji3][emoji3]Usiombe shanga ikushike vzzz.....
Kazi zake wanaleta wenzangu
Tumesubiria desa mkuu bado....Ngoja niPark nishushe desa...
Ukibandika picha uniiteHabari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?
Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu, "Ukipata anaejua matumizi yake...."
Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.
Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6 Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.