Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

Kazi ya shanga kiunoni kwa wamama ni ipi?

Point kubwaa ni urembo tuu kwa mwanamkee...Mfano mila za kingoni mwanamkee unapoolewa mashangazi wanakupa hizooo ni Kama urembo kwa mwanamkee anayeolewaa...ingawaa kwa sasa sio muhimuu Sanaa
 
Ntaanza na kazi za shanga kwa mwanamke,yani mwanaume inabidi azifanyaje pili ntafwata kazi ya shanga kwa mwanaume,yani jinsi mwanamke anavyotakiwa kuzifanya kwa mwanaume
 
Ila huwa zinahamasisha kudinyana haswaa,mengne siyajui
 
1. shanga kwa waswahili wanaamini zinachonga shepu zao(hili naweza kuamini) ukiwakuta wale wazoefu wa kuvaa shanga shepu zao zinakuwa zimechongeka vizuri san
2. pili kwenye mizagumuo akikulia kwa juu alafu ukawa unajua kuzitumia kwa utaratibu unamsugulia kwenye ngozi kwa kutumia shanga hizo nyege zake sio za kawaida anaweza kukuvunja mashine
 
Habari wakuu, Kwa hapa terminator naona nimerterminatiwa, hizi shanga wanazovaa wadada viunoni kazi yake na matumizi yake hasa ni yapi?

Maana kila nikikutana na hizi mada majibu yake nakuta yamekaa kimafumbo mafumbo tu, "Ukipata anaejua matumizi yake...."

Na mafumbo kibao kiasi kwamba kuna watu wanajua matumizi ya hizi shanga tofauti na kuzichezea mkiwa mnachakatana au ndio kukalilishana mafumbo ambayo hata aliesema hajui majibu yake.

Hebu wakuu nipeni hapa matumizi ya hizi shanga ni yapi kwenye 6×6 Na wamama leteni maana ya rangi ya hizo shanga zinamaanisha nini.
Ukibandika picha uniite
 
Back
Top Bottom