Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Shanga ni urembo kama urembo mwingine, ni kama wanaovaa cheni shingoni, kiunoni, mikononi, miguuni, wapo wanaovaa shanga sehemu hizo pia....
Kama hupendelei urembo huo, zungumza na mwenzio aache.
Kama hupendelei urembo huo, zungumza na mwenzio aache.