Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,193
Yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania , ni kama mchezo , lakin wajanja walisha jua kuwa msindai na mpendazoe walitumwa kwa kazi maalum
Swali gumu najiuliza je lowassa na sumaye urafiki ulianza Lin mpaka akamfuata uko?
Pili lowassa asingehama , sumaye angeama? Ukipata majibu ya mambo hayo utaelewa Kazi wameifanya vizuri na wapinzani wasivyojua kuchambua walikuwa wanashangilia eti mabadiriko , wakati hao ni wazee wakistaafu Ccm wanapewa kazi maalum kwenye upinzani kuvuruga mipango ya washindani,
Hakukuwa na haja ya kuwapokea hawa watu maana tiyari cdm ilikuwa ishaanza kujitegemea kimawazo, kiutaratibu sasa Leo hii Ccm imepandikiza magobachev kibao ,,
Na pale wanapojifanya wamerudi Ccm utasikia
well done
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]