Tetesi: Kazi ya Sumaye ndani ya upinzani alotumwa na CCM ikiisha atarejea kama kina Msindai

Tetesi: Kazi ya Sumaye ndani ya upinzani alotumwa na CCM ikiisha atarejea kama kina Msindai

Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.

Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.

Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)
Du, hiyo akili umeipata wapi baba, sasa pirikapirika zilikuwa za nini?, si angesubiri tu.
 
Soma post yangu upya! Usitumie akili sana. Yaani relax tu ukiwa unaitafakari. Utaielewa. Sikusema Binadamu ni MUNGU.

MUNGU sio binadamu.
Ila binadamu ni mfano wa mungu
 
Dah... Na atamsimika tena 2020 kuzidi kuimarisha mazingira yawe mazuri zaidi ili 2025 Mzee wetu ENL asipate kazi ngumu...[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Wanaota tu
 
mdogo wangu kevi..slaa ni agent wa muda mrefu..tunamjua...zito ni agent tunamjua...lipumba ni agent...it's well known...seif maalim ni mtu wetu...sumaye ana kazi maalum....kwa wenye akili rudieni speech aliyoitoa wakati anahamia upinzani.....aliwaambia CCM...wasiwe na taabu....yuko pamoja nao..kuna kazi anaenda kuifanya na badae watamuelewa
Hehehe humpendi slaaa weww
 
Mkuu ili swala nilishawaambia lakini vichwa maji eti umshangilie sumaye sumaye huyu mmmhhhh!!!!
Sumaye ni mkusanya taarifa nyeti kama alivyo mbatia siku kazi wakimaliza mtawasikia
Umeona hee
 
Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.

Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.

Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)

Sasa huu ni upuuz,kabla ya uchaguzi mlsema atakua rais 2015 tena saa4 asubaah..
Sasa mnasema 2020..
..
Yaani km story ya vpnd vya "watoto wetu"
 
CCM haikua na haja, wala aina haja ya kumtuma mtu kama Mr. Zero. Katika vitu ambavyo upinzani wa Tz ulipatia kwa 100% ni kumuita huyo jamaa mr. Zero na EL fisadi papa.
 
lowasa na sumaye ni mamluki wa ccm...

mbowe hana sauti tena, maana cdm inaendeshwa na ccm kwa mlango wa nyuma..
 
lowasa na sumaye ni mamluki wa ccm...

mbowe hana sauti tena, maana cdm inaendeshwa na ccm kwa mlango wa nyuma..
 
kwahiyo kunyang'anywa mashamba nako ni sehemu ya huo mkakati?
 
Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.

Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.

Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)

Viroba kumbe vipo mitaani watu wanakunywa, halafu wanaleta ndoto za mchana baada ya kunywa viroba. Haaahaaa haaa
 
Back
Top Bottom