Du, hiyo akili umeipata wapi baba, sasa pirikapirika zilikuwa za nini?, si angesubiri tu.
Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.
Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.
Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)
Hehehe humpendi slaaa wewwmdogo wangu kevi..slaa ni agent wa muda mrefu..tunamjua...zito ni agent tunamjua...lipumba ni agent...it's well known...seif maalim ni mtu wetu...sumaye ana kazi maalum....kwa wenye akili rudieni speech aliyoitoa wakati anahamia upinzani.....aliwaambia CCM...wasiwe na taabu....yuko pamoja nao..kuna kazi anaenda kuifanya na badae watamuelewa
Bwana wetu YESU CHRISTO kupitia Nabii wake TB Joshua alikuja kumpa taarifa na ujumbe wa kinabii Ndg Edward Lowassa kuwa atakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuanzia mwaka 2020.
Kusema kuwa CCM wamemtuma ENL kwenda CDM ni uongo na chukizo kwa MUNGU.
Amini usiamini ENL ni Rais mwaka 2020. JPM alisimikwa kwa kazi maalumu (kuandaa mazingira kwa ajili ya ENL)
WATU MKISHASHIBA UBWABWA MNAOTA NDOTO ZA MCHANA LOWASA PIGA UA URAIS HAPATI
lowasa na sumaye ni mamluki wa ccm...
mbowe hana sauti tena, maana cdm inaendeshwa na ccm kwa mlango wa nyuma..
Hivi toka uanze kuitete cheo gani umezawadiwa?
Dah hahahaPole lowasa kwa kuingizwa mjin na mbowe
Hehehe sijajua hapo majamaa wanabuni tukwahiyo kunyang'anywa mashamba nako ni sehemu ya huo mkakati?