Kazi ya uhudumu wa bar

Iko hivi ukifika bar unaona wahudumu wote sawa unakuja kuhudumiwa, unaagiza bila hata kumuangalia usoni, bia ya kwanza, ya pili na ya tatu sasa unaanza mkagua unagundua ana ka msambwanda mwisho unampa ofa ama unamwambia akae hapohapo awe anakudumia wewe tuu na unapofika muda unampanga mkavunje amri ya six
 
Mkuu Muhudumu Wa bar ulaya Ni mbingu Na ardhi umlinganisha Na Wa bongo Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzao kule ni kuongezea kipato, kuna heshima, zajulikana wanafunizi wa Univ hasa ndio kazi zao, kipato kwa saa na kizuri, maisha kule yako vizuri sio kama hapa, kule ni kawaida kuona wateja wakiokota glass au sahani za kulia na kupeleka kaunta, wateja wanunua kaunayt. Bongo Barmaid ni shida, hapo mama na baba, ndugu na marafiki, wote hawa wanategemea kipato chake, rent, kula, ili kupata kazi tu lazima Manager aonje, ni kazi mpaka twawahurumia dada za watu..
 
Waajiri pia wawe wakali na kuwaeleza kwenye induction kuwa ikibainika umetoa kitumbua kwa mteja ni sackable offence
duh,sasa hapo si watakuwa wanaingila maisha binafsi ya mtu.

Yaani kisa wamemuajiri ndo wampangie mpaka mwanaume wa kutoka naye kimapenzi?.


You can't be serious kwa kweli.
 
Hii kaz imekaa kimtegomtego,watu tumetofautiana mwingine akilewa yy ni kimya anaenda zake hom kulala,jamaa mwingine akilewa tuu anaanza kumuona muhudumu mrembo kwel hata kama sio,ss unategemea nn hapo!
 
Hii kaz imekaa kimtegomtego,watu tumetofautiana mwingine akilewa yy ni kimya anaenda zake hom kulala,jamaa mwingine akilewa tuu anaanza kumuona muhudumu mrembo kwel hata kama sio,ss unategemea nn hapo!
Hayo ni manyanyaso ya kijinsia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…