Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo watafukuza wateja wawawlimishe tuWaajiri pia wawe wakali na kuwaeleza kwenye induction kuwa ikibainika umetoa kitumbua kwa mteja ni sackable offence
Wengine bar tunafata bia na vitumbua, huoni kwamba boss atakuwa amepoteza wateja kijinga?Waajiri pia wawe wakali na kuwaeleza kwenye induction kuwa ikibainika umetoa kitumbua kwa mteja ni sackable offence
waanze kuheshimu hiyo kazi wanayoifanya ,.. wasiwe cheap
Kwahiyo wateja ndiyo wavunjaji wa work ethicsWengine bar tunafata bia na vitumbua, huoni kwamba boss atakuwa amepoteza wateja kijinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo itakuwa na hadhi .. tatizo ya elimu ya tanzania ni ya uongo uongo .. we need moneyKwa hiyo wakiwa expensive, ndio kazi hiyo itakuwa na hadhi?
Wenzao kule ni kuongezea kipato, kuna heshima, zajulikana wanafunizi wa Univ hasa ndio kazi zao, kipato kwa saa na kizuri, maisha kule yako vizuri sio kama hapa, kule ni kawaida kuona wateja wakiokota glass au sahani za kulia na kupeleka kaunta, wateja wanunua kaunayt. Bongo Barmaid ni shida, hapo mama na baba, ndugu na marafiki, wote hawa wanategemea kipato chake, rent, kula, ili kupata kazi tu lazima Manager aonje, ni kazi mpaka twawahurumia dada za watu..Mkuu Muhudumu Wa bar ulaya Ni mbingu Na ardhi umlinganisha Na Wa bongo Sent using Jamii Forums mobile app
duh,sasa hapo si watakuwa wanaingila maisha binafsi ya mtu.Waajiri pia wawe wakali na kuwaeleza kwenye induction kuwa ikibainika umetoa kitumbua kwa mteja ni sackable offence
Kuna baa imeanzishwa hapa mhudumu ukisema umnunulie bia anakataa katakata. Wamekatazwa. Nimeona ni jambo zuri sana.Kuwe na work ethics wahudumu wasirhusiwe kunywa wakiwa kazini
Hayo ni manyanyaso ya kijinsiaHii kaz imekaa kimtegomtego,watu tumetofautiana mwingine akilewa yy ni kimya anaenda zake hom kulala,jamaa mwingine akilewa tuu anaanza kumuona muhudumu mrembo kwel hata kama sio,ss unategemea nn hapo!
Biashara ulioajiriwa ni kuuza pombe hayo mengine mmhhduh,sasa hapo si watakuwa wanaingila maisha binafsi ya mtu.
Yaani kisa wamemuajiri ndo wampangie mpaka mwanaume wa kutoka naye kimapenzi?.
You can't be serious kwa kweli.
Haha matako bar [emoji13] [emoji13] [emoji13] iko wap mze.Wahudumu wa bar wanakuaga na mikia balaa,.. Brazilian pale tegeta opp kibo,... Matako bar, wanakosha sana,.........
Mkuu chukua namba za simu halafu mtumie sms kisha mshtue wakifunga hamia nae bar ya jiraniKuna baa imeanzishwa hapa mhudumu ukisema umnunulie bia anakataa katakata. Wamekatazwa. Nimeona ni jambo zuri sana.