Nawaheshimu sana wale mabinti na wamekuwa watu wangu wa karibu sana.. Nilianza maisha ya kupanga na mmojawapo enzi hizoooWengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Tunatoka mbali mkuuNawaheshimu sana wale mabinti na wamekuwa watu wangu wa karibu sana.. Nilianza maisha ya kupanga na mmojawapo enzi hizooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hata China hawa wadada wa Mjini wakienda kule wanafanya kazi ya kuuza miili zao ili waje kuutesa huku.... Yaani kweli hata mimi huwa nashangaa Wadada wanavyowanyoshea wenzao wakati wakiwa Nje na wao wanafanya kazi ya Uchangudoa...Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Uhudumu wa Public House mamtoni si uchungu dona, ni kazi inayolipa minimum wage, mhudumu anakausafiri kake anaa park baada ya kazi hata kama ni saa saba usiku anaendesha gari yake home.Nasikia hata China hawa wadada wa Mjini wakienda kule wanafanya kazi ya kuuza miili zao ili waje kuutesa huku.... Yaani kweli hata mimi huwa nashangaa Wadada wanavyowanyoshea wenzao wakati wakiwa Nje na wao wanafanya kazi ya Uchangudoa...
Wakijifunza kusema NO... na wakawa wachoyo wa K zao... labda hapo wataeleweka. Ukimtongoza baamedi akakukatalia... nenda kaogee magadi utoe nuksiWengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Umeamua tu kubadilisha jina tu ila huwa ni kazi ya Uchangu Doa uyaani Umalaya wa kujiuza kwa wanaume wa kizungu.... Malipo kuanzia dola 50 to 100..Uhudumu wa Public House mamtoni si uchungu dona, ni kazi inayolipa minimum wage, mhudumu anakausafiri kake anaa park baada ya kazi hata kama ni saa saba usiku anaendesha gari yake home.
hatari sana.Unaweza kumbukana mkwe wako baada ya pombe
Sikubadikisha jina mkuu ninakula full package with maternity, sick and holiday pay plus paid training na wanachotaka kutoka kwako no work ethics na punctualityUmeamua tu kubadilisha jina tu ila huwa ni kazi ya Uchangu Doa uyaani Umalaya wa kujiuza kwa wanaume wa kizungu.... Malipo kuanzia dola 50 to 100..
Halafu huku wanajiona respected
Ukienda kunywa usitongozeWao kwanza wajitambue kwamba sio ukipewa ofa ya savana mbili tatu halaf nikikuambia baadae vip unasema kalipe kaunta tuondoke,wao wenyewe ndio tatizo la kufanya kaz huku wanajiuza kimya kimya,kuwasaidia wao sisi wanapaswa kua wagumu wa kutukubali. Ovaa
Kwanza ni kwa nini hadhi yake kwa Tanzania ipo chini na kule ughaibuni ipo juu? Je, ni kweli huko ughaibuni, ikilinganishwa na nyingine ni sawa?
Kwangu mimi iwe ughaibuni au Tanzania haina hadhi. Na sio wote wanaosoma au waliosoma ughaibuni wamefanya u-barmaid. Wengine wamefanya kwenye mashamba, supermarket na kutandika vitanda na kuhudumia chakula au kuosha vyombo mahotelini mpaka kusafisha vyoo. Kwenye nyumba za wazee na mahospitalini ikiwemo kuokota taka barabarani.
Vyuo vya ughaibuni vinashauri wanafunzi kufanya kazi hizo hili kuongeza uzoefu wa kuongea lugha zao kama Kiingereza na kipato kwa ajili ya kujikimu ambacho sio kikubwa ukilinganisha na hadhi ya kazi yenyewe. Na wengi wenye ufadhili wa masomo ambao sio wa uhakika ndio ufanya kazi hizo bila kujali ni wenyeji au wageni.
Kama kufanya kazi hizo ughaibuni kuna hadhi ya juu, basi wekeni kwenye CV zenu?
Hapo ulipolinganisha na Ulaya ndo umetia nazi kwenye supu.Wengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
ha ha ha ha ha ha ha
una nmba zao unipeWahudumu wa bar wanakuaga na mikia balaa,.. Brazilian pale tegeta opp kibo,... Matako bar, wanakosha sana,.........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja nikayatafuteWakijifunza kusema NO... na wakawa wachoyo wa K zao... labda hapo wataeleweka. Ukimtongoza baamedi akakukatalia... nenda kaogee magadi utoe nuksi