Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nawaheshimu sana wale mabinti na wamekuwa watu wangu wa karibu sana.. Nilianza maisha ya kupanga na mmojawapo enzi hizoooWengi wetu wanaichukulia kazi hii kuwa ni ya kudharaulika, Mara nyingi kijana akipata girlfriend mhudumu wa bar hawezi hata kuwafahamisha kwao kazi ya mpenzi wake.
Wale waliosoma nje ya Tanzania mmeshuhudia wanafunzi wa university wanavyopiga kazi hizi weekends na holidays ili kupambana na maisha wakati wa academic year na zimesaidia wengi sana.
Nini kifanyike ili kuzipa kazi hizi hadhi na heshima?
Sent using Jamii Forums mobile app