ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
amini mkuu.Hongera master.. Kazi yangu ya kwanza "internship" Nililipwa chini ya 300k japo gharama za siku ofisi inaniwezesha..
So naelewa master ukifika level flani unamshukuru Mungu maana ukilinda sana hadhi mwisho wa siku hufanyi lolote la msingi kwa kuogopa watu
Walinzi wapo vizuri kabisa. Wengine ni vijana waliohitimu J.K.T wapo mtaani na hivyo wameajiriwa kwenye ulinzi. Japo Kuna wazee wachache utaona wanashida, hao ni kama wameshakata tamaa ya maishanmekutana na walinzi kila aina,,coz nshafanya kazi ya kukesha usiku kucha kampuni fulani,, sjawah ona ambao nati zimelegea
Hakika aseeeeeWalinzi wapo vizuri kabisa. Wengine ni vijana waliohitimu J.K.T wapo mtaani na hivyo wameajiriwa kwenye ulinzi. Japo Kuna wazee wachache hao ni kama wameshakata tamaa ya maisha
Eeehe SUMA JKT hawa hawa wanaolinda kwa mikwara mizito in the name of JKTInategemea. Garda wana kampuni tatu (KK, Ultimate na West)
West security ni local company na mishahara yao ni kidogo.
Basic yao ni 195,000. Hawana tofauti na SUMA JKT
we inaonekana una roho nzuri nimepitia comment zako nyingi hupendi kujikweza mungu akubariki uendelee na moto huo huo...😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
Acha tu mkuu,huwa nawahurumia sana watu wanaolala nje..kuna siku nilikua njombe ,nikapita mitaa flani nikaona watu wako nje wanalinda maduka huku wamewasha moto,nikajisemea hawa watu Mungu awalinde tu kwa lile baridi la njombe ni hatari kuwa nje usiku mzima.😭😭😭😭😭😭 Ila maisha haya🙌 unakuta mwingine ni mzee anapigwa na baridi usiku...afu wamekata tamaa Mie tumbo la uzazi linaniuma hapa...huwa sipendi kuona watu wanateseka ingali hawakuchagua kuzaliwa😭
Stanbic wameangalia vigezo gani kukupa mkopo wa 4million mkuuKwa mwezi nakatwa 96k
wakati nachukua basic ilikuwa 150 nilichukua 2m asaiv wamepandisha basic 220 Kwa hiyo unaweza kukopa mbaka kiufupi tulipewa wenye miaka kuanzia mitatu kama sijakosea ila walikuwa wanaangalia mshahara wako Kwa asaiv tangu upande mshahara wanakopesha mbaka m7 ila wana top up Kwa ambao hawajamaliza mikopo Kwa si tulio maliza hawakopeshi tena ila Kwa mlinzi wa kawaida ana top up mbaka m5_6Stanbic wameangalia vigezo gani kukupa mkopo wa 4million mkuu
Je ni
kazi yako
Muda wa kazi (salary slip ya muda gani).?
Na wanaopewa ni Gardaworld tu?
mkuu kama umebahatika maisha kidgo shukuru mungu mno tena sana mi ndio nafanya hii kazi unaweza kukomaa usiku kucha umefika saa kumi unasema ngoja nilale kdgo saa moja tu unastuka mali ya mteja washachukua ukute kitu Cha 70k unapelekwa police kama huna ndugu imetoka hiyo pia Kila mtu ana kudharau Yani mbaka cleaner wanakuona huna huna ishu...Acha tu mkuu,huwa nawahurumia sana watu wanaolala nje..kuna siku nilikua njombe ,nikapita mitaa flani nikaona watu wako nje wanalinda maduka huku wamewasha moto,nikajisemea hawa watu Mungu awalinde tu kwa lile baridi la njombe ni hatari kuwa nje usiku mzima.
As me 😄 🤣 ofisaaaaa....afsaaa...ni long story sipendi ku share other side of me..Hakuna kazi nzuri Ila huwa kuna MTU mzuri ndani ya hiyo Kazi
🤗🤗🤗 ULINZI 🤔😁🤗 AUAs me 😄 🤣 ofisaaaaa....afsaaa...ni long story sipendi ku share other side of me..
Hao ni wa kimataifa mzee.Hawa wa Garda huku mtaani naona wana nawiri tuu
Hiyo kazi hata ulipwe milioni kudharaulika kupo palepalemkuu kama umebahatika maisha kidgo shukuru mungu mno tena sana mi ndio nafanya hii kazi unaweza kukomaa usiku kucha umefika saa kumi unasema ngoja nilale kdgo saa moja tu unastuka mali ya mteja washachukua ukute kitu Cha 70k unapelekwa police kama huna ndugu imetoka hiyo pia Kila mtu ana kudharau Yani mbaka cleaner wanakuona huna huna ishu...
Utabaki kichw mzee juice kola na mihogo na unataka poz machine 😂Anifowadie na mm raraa reree nikajipozee
Wengi ni chakula cha wengi,muda mwingi unakutana nao town wamepanda bodaboda, wanapelekwa kukazwa,muda ambao siyo wa kazi.Wanakula vizuri,ila mushahara midogo,na wengi wao hawajaolewa.Wakisema waolewe,huwa wanaachika,kwasababu waume zao hushindwana nao kwasababu ya ugawaji.Maana nikiangalia nywele imekolea dawa lip shine ipo mahala pake msambwanda ndani ya suruali wa kwenda ebhanaeeeeee
Kikara sio mm kwel 😂Huyu wa kimara au mbande?
Ukiwa na akili timamu hiyo kazi haifanyiki🤣🤣Kwa asilimia kubwa kwa experience yangu, walinzi wengi ni dakika 7 mbele dizaini kama nati imelegea mahali.
Walinzi na wenye ndugu na jamaa walinzi mnisamehe.
Sio wewe huyo nawasiliana naeKikara sio mm kwel 😂