Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

Kazi ya ulinzi ndugu zangu sio kazi wallah

mkuu mi Niko gada na hapa Niko lindoni take home nachukua 380k na Nina bima plus nif
Nakubaliana na ww jomba. Garda, G4S na SGA hizi kampuni wanawalipa walinzi vzr kabsa, tena ontime. Nina jamaa zangu wanafanya kazi garda na wananiungisha sana kwny biashara yangu, issue za kukopa kwao ni mara chache sana. Kwa tafsiri iyo it means hawa wanalipwa ontime na malipo yao yako poa.
 
Cleaner bora x100. Kwasababu kuna muda wa break na wafanyakazi wengi wanawapa tips watu wa usafi sio walinzi.
Niliwah kupata kimeo kipkndi hiko muhindi kaamka saa 11 hajaniona. Ikaletwa kesi umelala wapi? Nikalitimua vumbi muhindi akaona huyu jamaa mwehu nikabadilshwa kituo cha kaz mana nilikesha alaf mda naenda toilet muhindi ndo katoka kunikagua. Kufika ofisin naambiwa mlinzi ukaze hata choosing huendi we ukomae tu...

nikaona kweli hii kazi inataka wehu
 
Sema nasikia kuna kaubaguzi ka chini chini kwetu sisi wa bara kutoka kwa wazawa ni kweli?
Under circumstances.. Wale jamaa wanaonaga u"bongo" ni dishonourable nature. Lakin level hii imefikiwa sabab ya sheria kule kutaka wazawq kunufaika zaidi kwa kigezo cha udogo wa kisiwa.
 
kaka sio kila Kampuni ya security inalipa walinzi 120 tena trh mbovu

wengine ni walinzi wa migodi, mishahara ni mikubwa kweli kweli
We better speak of quantity na hizo eneo zenye mazingira mazur ya kaz hiz ni almost 5% ya kitu kizima. Na kupat shughul yake pevu
 
Yessssssss.. niaje!

Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.

Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.

Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.

Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu

Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!

View attachment 3071851
Hii kazi kama mhusika ni mlinzi wa nyumba ni heri mwenye nyumba ubebe baadhi ya mambo. Hawa watu wanateseka sana.

Halafu wale wakaguzi wao huwa ndiyo katili sana. Wakikuta hajavaa sijui kofia, kitambulisho au kirungu kiunoni ni balaa.

Hapo kama ni mlinzi wa iliyokuwa Ultimate Security ataambiwa atunze bustani za maua kwa kunyweshea maji kwa ratiba.

Kuna wakati mzee alimnunulia baskeli ya gia mlinzi anayelinda home, basi ikawa balaa hadi wakamtoa home wakampeleka kwingine.

Ndiyo maana Ubalozi wa US ilipoanzisha kampuni yake ya ulinzi, ikazoa kirahisi walinzi karibu wote wa Ultimate Security.

Ova
 
Mm siku nafika ofis yetu nikakutana na kimeo. Operation manager anammfokea jamaa kwamba "atainamishwa".. kila neno akiongea anamalizia hivyo.. mara "unaleta ufala weyeee". Kunbe jamaa alikatazwa kupokea misaada ya bosi anapolinda. Sasa kila wakimtemblea wanakuta jamaa anapew chakula anakula kama mwanafamilia. Wanammaindi 🤣
 
Yessssssss.. niaje!

Asee kazi nyingine ndugu zangu sio kazi. Mshahara 180 or less na hapo hujafanya kosa. Unagewa mkataba huo unaweza ukalia na unaambiwa kama hauuwez tunakuruhus njia ile nyeupe!.

Hapo unashngaa kila siku unalipwa elf 6 lakini siku hiyo ukikutwa na kosa unakatwa elfu 20. Hapohpo ikifika mwisho wa mwez kulipana mpaka maandamano.

Miaka kadhaa nyuma nilipiga hii kazi! Dah 😁😁 sijui pepo lile la kufanya yoyote nilitolea wapi mana sio kwa ujinga ule. Mshahara kupewa mpaka kivumbi na unapewa mshahara na masimango kibao.

Ilifika kipindi mshahara mnapokea tarehe 15. Kuna mwez flani nikPewa mshahar tarehe 24 yani nimefanya kaz siku 54. Hiz kaz ndo mana wanajazana wazee wa hovyo kwa hovyo tu

Tupia vioja na vimbwanga vya hii kaz hapa!

View attachment 3071851
Nitakuja kuelezea kwa upande wangu
 
Hongereni wakuu kwa hustles na at least hii thread imeonesha uhalisia wa wengi tuliopo jf kuwa sio wote tunalipwa millions. Wengine 300k ni mshahara ideal kabisa kutokana na mishe tunazofanya.

Cha msingi ni halali na maisha yanaenda
 
Half american kampun hiyo ni ya mtanzania au? Mana kampunin zenye balaa zinamilikiwaga na watanzania
Yaani hata haya makampuni / mashirika yanayoingia mikataba na baadhi ya makampuni ya ulinzi ya kiswahili huwa naona kama yanachochea unyanyasaji kwa hao walinzi....shirika linalipa laki mbili na nusu Kwa huduma ya ulinzi (hapa mlinzi sijui atalamba ngapi maana na mwenye kampuni nae ela yake ya faida itoke hapa hapa na hakuna rotation na ukiona mlinzi amebadilishwa usidhani yupo off Bali amepelekwa LINDO kingine ili kukuonyesha linajali walinzi wake

Kimsingi hawa ni ma-WATCHMEN na sio SECURITY GUARDS
 
Mm siku nafika ofis yetu nikakutana na kimeo. Operation manager anammfokea jamaa kwamba "atainamishwa".. kila neno akiongea anamalizia hivyo.. mara "unaleta ufala weyeee". Kunbe jamaa alikatazwa kupokea misaada ya bosi anapolinda. Sasa kila wakimtemblea wanakuta jamaa anapew chakula anakula kama mwanafamilia. Wanammaindi 🤣
Huwa ni wivu tu na roho mbaya, ila wanajitia eti wanasimamia taratibu za kazi.

Ova
 
Back
Top Bottom