Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
- #261
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very sad ila ndiyo maishaAcha tu mkuu,huwa nawahurumia sana watu wanaolala nje..kuna siku nilikua njombe ,nikapita mitaa flani nikaona watu wako nje wanalinda maduka huku wamewasha moto,nikajisemea hawa watu Mungu awalinde tu kwa lile baridi la njombe ni hatari kuwa nje usiku mzima.
Ubarikiwe sana mkuu 🙏we inaonekana una roho nzuri nimepitia comment zako nyingi hupendi kujikweza mungu akubariki uendelee na moto huo huo...
Lazima uwe kama una dipresheni kali hivi 😂Ukiwa na akili timamu hiyo kazi haifanyiki🤣🤣
Kabisa🤣Lazima uwe kama una dipresheni kali hivi 😂
Nakushauri kwa mshahara huo usikope.mkopo wa zaidi ya miezi 36.wakati nachukua basic ilikuwa 150 nilichukua 2m asaiv wamepandisha basic 220 Kwa hiyo unaweza kukopa mbaka kiufupi tulipewa wenye miaka kuanzia mitatu kama sijakosea ila walikuwa wanaangalia mshahara wako Kwa asaiv tangu upande mshahara wanakopesha mbaka m7 ila wana top up Kwa ambao hawajamaliza mikopo Kwa si tulio maliza hawakopeshi tena ila Kwa mlinzi wa kawaida ana top up mbaka m5_6
Kwahiyo unataka kusema Suma Jkt ni kampuni kubwa ? 😆😆😆Mshahara laki 2 kavu ,si bora ungesemea SGA,GARDA NA G4S ambao international kimo cha basic 222kInategemea na kampuni unayofanyia Kuna kampuni kubwa kama GARDA WORLD, G4S ,security group SGA, SUMA JKT n.k Kuna rafiki zangu wanafanya kazi huko kitengo cha IT na wengine walinzi.
Walinzi unaozungumzia wewe ni wale wa kampuni kama MOKU ,KAMANDA SECURITY na zingine za wazawa.