kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Penati ya wazi kabisa hiyooo ,na subirini derby ya pili timu itakuwa imekaa njema zaidi ya hapo
No vibabu vimeshindwa kasi ya TK yaan wawa na onyango watalala hoi hao.wastaafu wapewe mafaoWavulana wamebebwa Leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile kurusha mkono ukisema AAAH!!!Refa Alivyo kuwa zuzu
Tukianza Mpira Lina turudisha
Wachazaji wakiwa Kwenye Morali lina wapooza
Kiukweli unaweza Vunja mkono wako kwa kuurusha Kwa hasira