Kazi ya waamuzi sita ni nini kama si matimizi mabaya ya pesa? Refa katuua Simba bila hata aibu

Kazi ya waamuzi sita ni nini kama si matimizi mabaya ya pesa? Refa katuua Simba bila hata aibu

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Penalty waliyopewa Yanga si halali kabisa na huku Simba wachezaji wetu wakichezewa faulo ndani ya 18 na mwamuzi anapeta.

Kulikuwa na sababu gani kuamuru adhabu ya penalty bila kuwa na uhakika ama kujiridhisha kwa waamuzi wasaidizi?
 
Marefa wa Tanzania hawatakuja kuchezesha mechi za International kamwe sio kwa Upumbavu kama huu.

Kulikuwa na haja gani sasa ya kuweka Waamuzi 6 wakati wote ni Zero brain.
 
Refa Alivyo kuwa zuzu
Tukianza Mpira Lina turudisha
Wachazaji wakiwa Kwenye Morali lina wapooza
Kiukweli unaweza Vunja mkono wako kwa kuurusha Kwa hasira
Ile kurusha mkono ukisema AAAH!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbumbumbu mmesha sahau wakati refa ana mpatia Kagere penati walikua marefa sita uwanjani. Mukoko Tonombe kalitia biriyani mtafuta ya taa.
 
Back
Top Bottom