Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Who knows? That Chick might change his schedule.....[emoji2][emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!
 
dah ila elimu si kitu hasa hasa kama umesoma hii ya tanzania ya kucopy na kupest hakuna anayeelewa......wenye akili timamu huwa wanaoa mke ambye atlest anajua kusoma,kuandika na kuhesabu ili aweze hata kumfungulia kabiashara lakini kuoa mke msomi ni DUNDERHEAD!!!!!
Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!
What is the Chick gets double his salary and less busy..surely he will slow down.....(my thought)
 
Mmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.

Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Usiwaze sana mke au mume anapatikana popote hata Badoo. Hapa JF ndiyo uwanja wa kutafutia
 
Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........
the matter ni kwamba wengi wanaotafuta wenza wanaboa to the maximum......anatafuta mke kwa vigezo ambavyo unakuta walengwa wake hawana vyote....JE unahisi ndoa ambazo walipendana kwa vigezo badala ya upendo wa kweli huwa zinadumu?
 
mnapangiana mpaka ratiba za kupika eti kisa tu na yy yupo busy..what the shame!!?
Yote sababu kila mtu analeta mkate nyumbani, si ameoa Diploma/Degree....wacha wawekeena zamu ya kuingia jikoni, usisahau wamwisho kuamka atandike kitanda[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Hahahaaa. Wala sio mule mule. [emoji12] [emoji12]
Haya nafasi hiyo hapo iko wazi itumie vema, jamaa kajinasibu ana kazi inayomweka bize mda mwingi, na hana mda wa kujiliwaza yeye na kazi tu. Wewe ndo utakuwa kila kitu yaani utasimamia mabiashara makubwa.
 
Hahaaa. Lol.

Kuna mengine nayasimamia tayari Mkuu haya ya huyu jamaa wacha niwaachie wengine.
 
Yote sababu kila mtu analeta mkate nyumbani, si ameoa Diploma/Degree....wacha wawekeena zamu ya kuingia jikoni, usisahau wamwisho kuamka atandike kitanda[emoji6][emoji6][emoji6]
Teh teh teh.....life kama uko GHETTO na masela.."wamwisho kuamka atandike kitanda"[emoji6]
 
Back
Top Bottom