Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

Kazi yangu inanilazimu kutafuta mke kupitia hapa JamiiForums

kutafuta mke au mme kwenye mtandao ni uwongo uliopitiliza..ila kwa kutafuta mpenzi hapo.sawa
 
Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........
Dah mkuu umemind sana, mke ni zaidi ya hizo degree za kwenye vyeti. Njoo PM kama hujaolewa
 
Hahaaa. Kweli kabisa usemalo.
Ndoa za namna hii ni sawa na za mkataba, yaani hamjuani tabia mnatangaza ndoa kwenye fake IDs, hujui ukoo wa mwenzio,

Wazee wetu walidumu kwenye ndoa kwa sababu ya kuheshimu desturi na taratibu za kimila, Leo hii hazipo.
 
the matter ni kwamba wengi wanaotafuta wenza wanaboa to the maximum......anatafuta mke kwa vigezo ambavyo unakuta walengwa wake hawana vyote....JE unahisi ndoa ambazo walipendana kwa vigezo badala ya upendo wa kweli huwa zinadumu?
Huwa hazidumu. Ndoa ni upendo uliothabiti mengine yanafata taratibu ndio maana Ndoa za sasa huwa hazidumu.
 
Mmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.

Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
Mrushie japo hio namba PM basi mwenzio akate ukali wa upweke.
 
Yote sababu kila mtu analeta mkate nyumbani, si ameoa Diploma/Degree....wacha wawekeena zamu ya kuingia jikoni, usisahau wamwisho kuamka atandike kitanda[emoji6][emoji6][emoji6]
Hahahahaaaaaa Wa kwanza Kurudi aanze kupika namna hiyooooo...
 
Ndoa za namna hii ni sawa na za mkataba, yaani hamjuani tabia mnatangaza ndoa kwenye fake IDs, hujui ukoo wa mwenzio,

Wazee wetu walidumu kwenye ndoa kwa sababu ya kuheshimu desturi na taratibu za kimila, Leo hii hazipo.
Hahaaaa. Wanasemaga utandawazi Bro.
 
Back
Top Bottom