[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!Who knows? That Chick might change his schedule.....[emoji2][emoji2]
Hahahahaaaaaa Acha tu.Yaani watu wanashangaza, vigezo kama hati ya dhamana mahakamani.
Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........dah ila elimu si kitu hasa hasa kama umesoma hii ya tanzania ya kucopy na kupest hakuna anayeelewa......wenye akili timamu huwa wanaoa mke ambye atlest anajua kusoma,kuandika na kuhesabu ili aweze hata kumfungulia kabiashara lakini kuoa mke msomi ni DUNDERHEAD!!!!!
What is the Chick gets double his salary and less busy..surely he will slow down.....(my thought)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] and that would be the end of his stunts, coz the tight schedule is his real job that dude is being paid for!!
mnapangiana mpaka ratiba za kupika eti kisa tu na yy yupo busy..what the shame!!?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ndo hivyo watakutana na type anayoitaka inshaallahHahahahaaaaaa Acha tu.
Hahahaaa. Wala sio mule mule. [emoji12] [emoji12]Hahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmepiga mlemle
Ndo ukweli huo!! Let it be.What is the Chick gets double his salary and less busy..surely he will slow down.....(my thought)
Yaani.....Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........
Usiwaze sana mke au mume anapatikana popote hata Badoo. Hapa JF ndiyo uwanja wa kutafutiaMmh. Sijuagi kwa nini nimejikuta nawaza ninachokiwaza lol.
Haya Mkuu Kila la kheri Mkuu katika kumpata mwenza hasa humu ndani ya jf kama matarajio yako Mkuu.
the matter ni kwamba wengi wanaotafuta wenza wanaboa to the maximum......anatafuta mke kwa vigezo ambavyo unakuta walengwa wake hawana vyote....JE unahisi ndoa ambazo walipendana kwa vigezo badala ya upendo wa kweli huwa zinadumu?Na biashara siyo kujua kusoma na kuandika. Kuna wanaojua kusoma na kuandika biashara zinawapelekea puta hajui tu...........
Yote sababu kila mtu analeta mkate nyumbani, si ameoa Diploma/Degree....wacha wawekeena zamu ya kuingia jikoni, usisahau wamwisho kuamka atandike kitanda[emoji6][emoji6][emoji6]mnapangiana mpaka ratiba za kupika eti kisa tu na yy yupo busy..what the shame!!?
Haya nafasi hiyo hapo iko wazi itumie vema, jamaa kajinasibu ana kazi inayomweka bize mda mwingi, na hana mda wa kujiliwaza yeye na kazi tu. Wewe ndo utakuwa kila kitu yaani utasimamia mabiashara makubwa.Hahahaaa. Wala sio mule mule. [emoji12] [emoji12]
Hahaaa. Lol.Haya nafasi hiyo hapo iko wazi itumie vema, jamaa kajinasibu ana kazi inayomweka bize mda mwingi, na hana mda wa kujiliwaza yeye na kazi tu. Wewe ndo utakuwa kila kitu yaani utasimamia mabiashara makubwa.
Teh teh teh.....life kama uko GHETTO na masela.."wamwisho kuamka atandike kitanda"[emoji6]Yote sababu kila mtu analeta mkate nyumbani, si ameoa Diploma/Degree....wacha wawekeena zamu ya kuingia jikoni, usisahau wamwisho kuamka atandike kitanda[emoji6][emoji6][emoji6]
Usijiwekee mipakaMimi naomba uwe tu Rafiki yangu.siitaji mpenzi tena