Kazi yenye mshaara wa milioni 1.3 Dar es Salaam au mshaara wa laki 7 Mwanza ?

Kazi yenye mshaara wa milioni 1.3 Dar es Salaam au mshaara wa laki 7 Mwanza ?

baki mjini acha ushamba hao wanaokwambia dar maisha ghali arusha watapaweza kweli
Umeishi Arusha?
Ugumu wa maisha ya Arusha ni upi?
Nimeishi Arusha 11 Year, ss naishi Dar...u can not compare gharama za maisha Dar na Arusha ktk stnd level za maisha mfano quality ya nyumba etc.... Arusha is overated Bro....!!!
 
Back
Top Bottom