Kazi yenye mshaara wa milioni 1.3 Dar es Salaam au mshaara wa laki 7 Mwanza ?

Ongezeko lake hapo ni 600,000 wengine tunaipata nusu yake tu Yani 300,000 na bado tupo humu humu dar tunapishana sehemu mbalimbali..
Sio mimi maana hata iyo nusu siipati ila amini tupo.
Bakia dar mkuu tafadhari 1.3 ni pesa nzuri.acha anasa
 
Nenda Dar mkuu, Mji wenye mishemishe zaidi na kama utapata angalau masaa 4 ya kufanya shughuli zako kwa siku, basi uwezekano wa kufanya michongo mingine ya kukuingizia pesa utakuwepo.
Mimi nipo huku mikoani bado maisha ni tight kabisa..
Miji kama wa Lindi au Mtwara maisha ni ghali sana, vitu bei juu kinoma.. Samaki wanavuliva bahari ile pale unaiona ila bei zake hazishikiki.
 
Lindi /mtwara ukiacha samaki nn ni ghali?
 
Je kulwa vp nataka nije niishe maisha yakoje?
 
Lindi /mtwara ukiacha samaki nn ni ghali?
Hivi bei ya vyakula kwa Lindi na Mtwara unaweza kufananisha na mikoa mingine Tanzania hasa yenye uzalishaji wa chakula(Nafaka).
Lindi, Mtwara, Dodoma n.k ni mikoa inayotegemea kulishwa tu miaka yote, Vyakula & Matunda bei inakuwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…