Kazi yenye mshaara wa milioni 1.3 Dar es Salaam au mshaara wa laki 7 Mwanza ?

Tengeneza bajeti kwa kuandika gharama zako za kila mwezi (kodi, chakula, usafiri n.k) kwa kila jiji. Linganisha gharama na mshahara: Je, mshahara wa Dar es Salaam unatosha kukidhi mahitaji yako baada ya kutoa gharama zote?

Ikiwezekana, tembelea Dar es Salaam na Mwanza ili upate uzoefu wa moja kwa moja wa maisha katika kila jiji. Mwishowe, uamuzi ni wako. Hakuna jibu moja sahihi kwa kila mtu. Chagua jiji linaloendana na mahitaji yako
 
Sawa mkuu
 
Kote ni mjini, Kote nitapanga,

Nina usafiri binafsi.

Watu wanasema Dar es Salaam maisha ni gharama sana bora niende ya Mwanza.

Mdau unashaurije ?
Dar Maisha ni mepesi sana hiyo 1.3 utatoboa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…