-Unajua kusoma na kuandika vizuri(mwandiko mzuri na kusoma kwa kuelewa)kiingereza na kiswahili?Sijafanikiwa kuuona mkuu
Asante mkuu🙏-Unajua kusoma na kuandika vizuri(mwandiko mzuri na kusoma kwa kuelewa)kiingereza na kiswahili?
-Unaijua sehemu/mtaa/kitongoji chako unachotarajia kufanya kazi hiyo?
-Unaweza kujichanganya,kupata taarifa sahihi muda wote kwa jamii hiyo?
-Huna kazi itakayokubana pindi utakiwapo?
-Upo tayari kujitoa kufanya kazi hiyo kwa moyo na uvumilivu na ubunifu wa ziada?
NB;Posho ipo nzuri tu kwenye mafunzo na posho za hapa na pale kipindi cha kazi hitajika.