Kazi za afya ngazi ya jamii

Kazi za afya ngazi ya jamii

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii.

Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?).

Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
 
Sijafanikiwa kuuona mkuu
-Unajua kusoma na kuandika vizuri(mwandiko mzuri na kusoma kwa kuelewa)kiingereza na kiswahili?
-Unaijua sehemu/mtaa/kitongoji chako unachotarajia kufanya kazi hiyo?
-Unaweza kujichanganya,kupata taarifa sahihi muda wote kwa jamii hiyo?
-Huna kazi itakayokubana pindi utakiwapo?
-Upo tayari kujitoa kufanya kazi hiyo kwa moyo na uvumilivu na ubunifu wa ziada?
NB;Posho ipo nzuri tu kwenye mafunzo na posho za hapa na pale kipindi cha kazi hitajika.
 
Asante mkuu🙏
 
Hivi mpaka leo haijajulikana ni lini waliochaguliwa wataenda vyuoni. Mana mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa lkn nipo nipo tu sielewi chochote,
 
Back
Top Bottom