Kazi za biomedical engineering Tanzania zipo

mayestee

Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
97
Reaction score
32
Samahan sana ,,wana jf wenzang nilikuwa naomba mnijuze kuhusiana na hii kozi mpya ya biomedical engineering inayotoa diploma tu kwenye vyuo viwili Tanzania ambapo ni DIT na ATC pekee .Nilikuwa naomba kujuzwa je kozi hii INA maslahi sehem zp na vipi kuhusu degree unaweza ukasoma kitu kingine maana degree yake Tanzania bado haijaanzshwa
If I will get replies from u ,guyz I will be happy plz don't hesitate to reply nahitaj msaada
 
Hamna program inayoanzishwa kama haina uhitaji!! kama unasoma soma, then maliza na kama ukitaka unaweza kusomea programs nyingine za uhandisi ukifika degree!!!! inshort hiyo kozi iko kama mechanical sema wao wanabase sana kwa binadamu na utengenezaji wa vifaa vya mahospitalini!!!

USHAURI

USIPENDE KUCHAGUA KOZI KABLA HUJAFANAYA RESEARCH, hii post ilibidi ulete kabla hujaomba chuo
 
Changamoto ni kwamba hayo makampuni yanayotengeneza na kusupply hizo medical equipments ndo wanataka wawe na mkataba wa installation na repair
chukulia mfano wa mashine za MRI na CT Scan za MNH.
 
Hamna program inayoanzishwa kama haina uhitaji!! kama unasoma soma, then maliza na kama ukitaka unaweza kusomea programs nyingine za uhandisi ukifika degree!!!! inshort hiyo kozi iko kama mechanical sema wao wanabase sana kwa binadamu na utengenezaji wa vifaa vya mahospitalini!!!

USHAURI

USIPENDE KUCHAGUA KOZI KABLA HUJAFANAYA RESEARCH, hii post ilibidi ulete kabla hujaomba chuo
Mkuu acha kuwa danganya vijana,biomedical haingiliani na mechanical bali kwa kiasi kikubwa inaingiliana na umeme na kozi zake nyingi ni za umeme
 
Mmenifungua akili jaman naomben mwendelee na ushirkiano wenu wakuu ili nipate kujuzwa zaidi
 
Mkuu acha kuwa danganya vijana,biomedical haingiliani na mechanical bali kwa kiasi kikubwa inaingiliana na umeme na kozi zake nyingi ni za umeme
Mkuu ivi unaelewa ulichoandika kweli?

Google

What Biomedical Engineers Do

Hiki ndicho nilichoandika.....

Hamna program inayoanzishwa kama haina uhitaji!! kama unasoma soma, then maliza na kama ukitaka unaweza kusomea programs nyingine za uhandisi ukifika degree!!!! inshort hiyo kozi iko kama mechanical sema wao wanabase sana kwa binadamu na utengenezaji wa vifaa vya mahospitalini!!!

Na hiki ndicho ulichoandika wewe....

Mkuu acha kuwa danganya vijana,biomedical haingiliani na mechanical bali kwa kiasi kikubwa inaingiliana na umeme na kozi zake nyingi ni za umeme

Alafu soma haya maelezo kutoka kwenye hiyo link....

A biomedical engineer will typically do the following: Design systems and products, such as artificial organs, artificial devices that replace body parts, and machines for diagnosing medical problems. Install, adjust, maintain, repair, or provide technical support for biomedical equipment.

Embu soma hapo kwenye red alafu linganisha na ulichoandika na nlichoandika!!! then uniambie wapi "umeme" unaingia!!

SWALI JE MIMI NA WEWE NANI ANADANGANYA???

NB: Kabla hujaandika kitu fanya research...period!
 
Mkuu ivi unaelewa ulichoandika kweli?

Google

What Biomedical Engineers Do

Hiki ndicho nilichoandika.....

Na hiki ndicho ulichoandika wewe....

Alafu soma haya maelezo kutoka kwenye hiyo link....

Embu soma hapo kwenye red alafu linganisha na ulichoandika na nlichoandika!!! then uniambie wapi "umeme" unaingia!!

SWALI JE MIMI NA WEWE NANI ANADANGANYA???

NB: Kabla hujaandika kitu fanya research...period!
Usitake kubishana hiyo kozi ipo dit na ipo chini ya department ya electrical engineering,,,,waliosoma dit wanaelewa,,,,,,wewe unaongelea google mimj naongelea uhalisia na bado unataka tubishane,,,nenda dit pale utapata yote usiyo yajua kuhusu biomedical........na waliosoma biomedical wanaruhusiwa kusoma electrical eng miaka mi3 inayotolewa na dit ,,kwa mtu wa kozi nyingine kuja umeme intampasa kusoma 4 yrs..
 
Wewe source yako ya habari google,mimi source yangu ya habari chuo kinachofundisha kozi hiyo unadhani nani atakuwa na taarifa sahihi kati yangu mimi na wewe????
 
Usitake kubishana hiyo kozi ipo dit na ipo chini ya department ya electrical engineering,,,,waliosoma dit wanaelewa,,,,,,wewe unaongelea google mimj naongelea uhalisia na bado unataka tubishane,,,nenda dit pale utapata yote usiyo yajua kuhusu biomedical........na waliosoma biomedical wanaruhusiwa kusoma electrical eng miaka mi3 inayotolewa na dit ,,kwa mtu wa kozi nyingine kuja umeme intampasa kusoma 4 yrs..
Kuwa chini ya department ya ELE ina maanisha inahusika na umeme? Kwa hiyo ingekua chini ya departmement ya mechanical ingekua inahusika na mechanical si ndio??? Na ingekua chini ya dept ya civil ingekua inahusika na civil si ndio unachomaanisha?
 
Hio course iko under electrical department na wanafunzi husoma masomo sawa kabisa na watu wa umeme pure mpaka mwaka wa tatu ndo biomedical wanajitenga ila Tele,bio and electronics ni ndani electrical engineering
 
Aaaaah sawa mkuu upo hapo dit ,,nngependa kuuliza vpi msuli WA hapo nackia n hatari aisee !!!!
 
Back
Top Bottom