kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kuomba ni initial step. Kwenye mchujo ndio wata apply wanachokitakaHali zenu wandugu?
Kuna tangazo la kazi za BOT zilitangazwa na Ajira portal,lile tangazo lilisema wanatakiwa kuapply watu wenye upper and first class pekee, ila cha kushangaza mfumo uliruhusu mtu yeyote mwenye degree tajwa aombe.
Hivi tunaweza kuitwa kweli kwenye usaili, na imekuaje mpaka ajira za BOT zinapitia utumishi wakati wao huwa wanaajiri wenyewe?
Asante
Hali zenu wandugu?

Sidhani na sababu watakua walimpaMajina Yametoka vp wamekuita?
Subiri tu pale sehemu inayoandika shortlist itakupa jibu kamili. Ila uhakika ni kwamba hautotoboaHali zenu wandugu?