Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Habari za leo wakuu,
Mimi nina nyumba Maji ya chai, Kijiji Cha Imbaseny, Arumeru, Arusha.
Leo nikiwa huku kijiini viongozi wa Kijiji wanapita kutangaza watu watoke wakajenge madarasa kwa nguvu.
Kumbuka leo ni siku ya kazi kwa waajiriwa.
Ukienda kazini usipoonekana kwenye ujenzi wa madarasa mgambo hupita kunyang'anya mali za wananchi kwa nguvu.
Hichi kitendo ni sawa?Je, kina baraka ya Serikali? Waziri wa Tamisemi unalijua hili?
Nawatakia siku njema wakuu!