Kazi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya wanafunzi

Kazi za Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya wanafunzi

MASEETO

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
261
Reaction score
86
Wana JF naomba mnisaidie kwa kutumia uziefu WA kila mwana JF. NImeteuliwa kuwa mwanasheria mkuu WA sreikali ya wanafunzi katika Chuo kikuu mojawapo hapa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya ofisi hii haina hata mwongozo. Kutokana na Hilo sijuo nianzie wapi, na Ni nini wajibu wangu. Naomba Sana mnisaidie kwani Chuo hiki nikipya. Nawasilisha
 
Chuo gani upo?
 
Mimi Ni mwanafunzi WA sheria naingia mwaka WA pili
 
Wana JF naomba mnisaidie kwa kutumia uziefu WA kila mwana JF. NImeteuliwa kuwa mwanasheria mkuu WA sreikali ya wanafunzi katika Chuo kikuu mojawapo hapa Tanzania, lakini kwa bahati mbaya ofisi hii haina hata mwongozo. Kutokana na Hilo sijuo nianzie wapi, na Ni nini wajibu wangu. Naomba Sana mnisaidie kwani Chuo hiki nikipya. Nawasilisha

Kikubwa futa hiyo nafasi kwenye hicho ki-bylaw cha hilo tawi la chuo! Wewe komaa na the law of tort !
 
Kikubwa futa hiyo nafasi kwenye hicho ki-bylaw cha hilo tawi la chuo! Tena mkome kuchafua vyeo vya watu, "mwanasheria mkuu" wa serikali ya wanafunzi afu hata kazi zako huzijui! Wewe komaa na the law of tort !

Hahah hizi na dharau sasa.
Tena mwambie akomae Land Law inamsubiri!
 
mtu ambaye si mwanasheria anakuwa mwanasheria mkuu, eh eh eh!!

Icho chuo kweli ni kipya, yaani hata mahakama haikutambui kama afisa katika ngazi yoyote ya sheria.

Kwa kuwa uko first year unaingia II nakushauri wewe wala usiwe na kiherehere kwenye maamuzi, wakiita kikao cha uogozi wewe nenda, saini kula allowance, lala mbele...

Usichukulie mzaha kusaini document za kisheria, ikumbukwe vyuo vyote uanzishwa chini ya sheria ivyo ukijiita mwanasheria mkuu siku taasisi yenu imepelekwa mahakamani kwa shauri lolote liwalo/ Mungu epusha ...itatakiwa documents na kama utakutwa umesaini kama mwanasheria wa taasisi wakati wewe sio mwanasheria, na mbaya zaidi izi serikali za wanafunzi zina mihuri, na umechongewa muhuri umesaini 'Mwanasheria' duuhh mziki wake hautatosha... utatakiwa kudhibitisha profession yako na itakutia hatiani.

Kwa kuwa mwaka wa kwanza nategema hauwezi kuwa legal consultant ivo usitoe maoni kama mwanasheria wa taasisi, wewe fanya majukumu utakayopewa na katiba ya serikali ya wanafunzi kama yapo, na kila serikali ya wanafunzi lazima isajili katiba ivyo pitia uko utajua majukumu yako.
Samahani kama ntakuwa nimekuudhi au kukosea popote!!
 
Me nafikr kua amekosea,eti mwanasheria mkuu!!chuo huajir mtu aliyehtmu koz na cheti sio transcrpts na vigezo vngne vya ki ada,labda jamaa n wazir wa katiba na sheria kweny serikal ya wanachuo ila kw alivysema sip kwel cz hkna ajira ya weledi kam huna cheti..
 
Back
Top Bottom