Me joblessEleza kwanza we ni mgambo au polisi
Sina nauliRudi kijijini kalime
Moderator inabidi muwe mnavifungia vithread vya hovyo hovyo kama hivi maana vinatujazia servers zetu za JF.Huwezi kuniamrisha paka we...ndo mnavotakiwa kujibiwa
Kwa uvivu wako wa kufanya research unategemea utatoboa kweli kwenye maisha!?Tutajie hizo kazi za maana basi ili tuzikimbilie tuache kulia njaa
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Endelea kuota ,,, yani mtu akupe 12M kwa mwezi kwa kukaa kwenye laptop tu na full ac!Kuajiriwa kiujumla hakulipi hata kama mshahara wako ni 12 mil
Unapoajiriwa ina maana mwajiri wako kanunua muda wako,hivyo kufanya mambo yako ni ngumu utaishia tu kwenye huo mshahara wake
Hio ajira ya 12M niachie mimi we nenda kalime matikiti majiπ...Kuajiriwa kiujumla hakulipi hata kama mshahara wako ni 12 mil
Unapoajiriwa ina maana mwajiri wako kanunua muda wako,hivyo kufanya mambo yako ni ngumu utaishia tu kwenye huo mshahara wake