Kazi za ovyo kwenye nchi hii

Kazi za ovyo kwenye nchi hii

Kuajiriwa kiujumla hakulipi hata kama mshahara wako ni 12 mil

Unapoajiriwa ina maana mwajiri wako kanunua muda wako,hivyo kufanya mambo yako ni ngumu utaishia tu kwenye huo mshahara wake
Biashara sio za kila mtu, hili watu wengi wanashindwa kulielewa ndio maana wanakandia waajiriwa.

Unataka kusema salary ya 12M haina maslahi? Kwamba huyo mtu hana maisha?
 
We trafiki wanakula rushwa balaa yani wana pesa ndio maana hawakosi bar.
Kuna mkoa nlikuwepo kila mwenye gari la abiria ana kiasi cha kuwalipa kwa siku. Usipotoa utaipata pata
Mkuu achakuridhika na vitu vidogo,vile vi afu tano ndio hela unazosema wewe
 
Mfano Mimi nalipwa 600k nabidi kutoa hela ya Mama nyumbani Kama 100k chakula pia mzee wangu 80k then na mimi nilipe bili zangu na hapo sijaoa nipo single

Lakini Sina Maisha nahisi hizi Kazi zetu za ualimu ni with lakini kufikia goals za kusaidia jamii na kuacha Legacy kwa 600k ni uongo
That way nimeamua kuwa mpole
 
Biashara sio za kila mtu, hili watu wengi wanashindwa kulielewa ndio maana wanakandia waajiriwa.

Unataka kusema salary ya 12M haina maslahi? Kwamba huyo mtu hana maisha?
Hii mifano mfu kwenye hizo kazi hapo juu hakuna anaevuta hata robo ya 12mil
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Endelea kuota ,,, yani mtu akupe 12M kwa mwezi kwa kukaa kwenye laptop tu na full ac!

Halafu useme utashindwa kufanya mambo yako? Kama hio hela unaiona ndogo watu na elimu zao wasingeroga kupata ubunge.
Umeongea kweli. Ndio maana hata Kimei kamaliza ukurugenzi wa crdb kaenda bungeni. Watu wanaongea maneno ya insipiration.
 
Dunia ili ibalance lazima watu tuwe kila sector mnang'ang'ania watu wana kazi mbaya eti kazi za hovyo wote tukiwa wakurugenzi zege atabeba nani ? Nani ataokota chupa , nani atakubebea mizigo !! Mliojaaliwa sehemu nzuri shukuruni ni majaaliwa ndo nature ya ulimwengu kujisawazisha 😂😂😂 ila maswala ya kupata kazi nzuri na vipato vizuri wengine mkatuona mafala acheni hizo !!
Kwa kuwa mtu sio omba omba ukiwa njiani hasimamishi V8 yako kukuomba ! Fresh mheshimu yeye pia anapigana kuweka mambo sawa ! Na anaheshimika sehemu ! Ndo bread winner sehemu hiyo !! Mnajisifu sana !
 
Watu waakula rushwa ikija kufika jioni ana zaidi ya laki. Trafiki wanakula rushwa wanapata ela kuliko hao mabank tellers wanaoshinda kwenye AC wamefunga tai. Shida trafiki wengi wazinzi na walevi
Hahaha wamejaa dhiki mzee,humo bar wao ndio wanaongoza kutupiga mizinga
 
Assalaam aleykum..

Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu.

kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiliwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria,hakuna marupurupu,mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana.

1.ASKARI POLISI..
i.magereza.
ii.trafiki

2.WALIMU(kufundisha)
Hizi kazi watumishi wake wamejaa njaa,dhiki,ulafi na shida tupu...

3.
4.
5.
FB_IMG_1674373056053.jpg
 
Back
Top Bottom