MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huu uzi wako unaashiria huna uwezo wa kupata milo mitatu kwa siku. Hali yako ni mbaya.Assalaam aleykum,
Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana.
1. ASKARI POLISI
i. Magereza.
ii. Mrafiki
2. WALIMU (kufundisha)
Hizi kazi watumishi wake wamejaa njaa, dhiki, ulafi na shida tupu.
3.
4.
5.