Na vinauzwa bei ghali sana hivyo unaweza kuona nini hasa maana ya kichaa cha binadamu.. Lakini ni ubunifu piaYaani sioni uzuri wowote katika haya madudu yake, naona kama jamaa ni kichaa fulani hivi aokotae vitu jalalani na kupaka mafuta ili ving'ae. Huyu unaweza mpambanisha na Wamakonde kweli kwa uchongaji vinyago? Haki ya Mungu huyu jamaa atakuwa chizi tu, siyo bure.
Kwa kweli huyu kichaa ana bahati kuishi Ulaya, angekuwa hapa Bongo angeshapewa majina ya mzungu koko au hata kupigwa mawe na sisi Wakereketwa kwa kuokota uchafu majajalani huko Masaki!Na vinauzwa bei ghali sana hivyo unaweza kuona nini hasa maana ya kichaa cha binadamu.. Lakini ni ubunifu pia