Kazi za ulinzi kwenye kampuni au mtu binafsi

Iko Zanzibar, ofisi zao zilikuwa Kwerekwe pale sokoni. Sijajua kama wamehama, but bado kampuni ipo. Ukibahatika unaweza kupangwa lindo siku hiyo hiyo na hawana vigezo vingi wala.
Kumbe wapo kama 2 tech tu. Nao wapo London pale Kwerekwe na unapangiwa siku hiyohiyo.

Ukij Zanzibar tutaftane bhasiii 🥴
 
Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
Kazi za ulinzi zipo kibao tuu ni wewe mwenyewe kuwa na nia tuu.

Pia unaweza kuwa mtu wa Masoko na ukavuna pesa bila kulala lindoni

Kama una nia hiyo nitafute wasapu
0753466356
 
Mtu wa masoko, unamaanisha wale wanaobebeshwa mabeseni na mnawavesha tai na moka chini au
 
Back
Top Bottom