Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kumbe wapo kama 2 tech tu. Nao wapo London pale Kwerekwe na unapangiwa siku hiyohiyo.Iko Zanzibar, ofisi zao zilikuwa Kwerekwe pale sokoni. Sijajua kama wamehama, but bado kampuni ipo. Ukibahatika unaweza kupangwa lindo siku hiyo hiyo na hawana vigezo vingi wala.
SawaKumbe wapo kama 2 tech tu. Nao wapo London pale Kwerekwe na unapangiwa siku hiyohiyo.
Ukij Zanzibar tutaftane bhasiii [emoji3061]
Mm Niko Changuu sana na bawe huku so nakujaga forodhan hapo mpaka malindi. Uje nikutembeze uone Kobe piaSawa
Nice. Sijatembea sana, mimi nimepanga Kiembe Samaki pale near airport.Mm Niko Changuu sana na bawe huku so nakujaga forodhan hapo mpaka malindi. Uje nikutembeze uone Kobe pia
Kazi za ulinzi zipo kibao tuu ni wewe mwenyewe kuwa na nia tuu.Habari, wadau anaejuwa kampuni ya ulinzi iliyotangaza nafasi za kazi.
Mtu wa masoko, unamaanisha wale wanaobebeshwa mabeseni na mnawavesha tai na moka chini auKazi za ulinzi zipo kibao tuu ni wewe mwenyewe kuwa na nia tuu.
Pia unaweza kuwa mtu wa Masoko na ukavuna pesa bila kulala lindoni
Kama una nia hiyo nitafute wasapu
0753466356
Mtu wa masoko, unamaanisha wale wanaobebeshwa mabeseni na mnawavesha tai na moka chini auKazi za ulinzi zipo kibao tuu ni wewe mwenyewe kuwa na nia tuu.
Pia unaweza kuwa mtu wa Masoko na ukavuna pesa bila kulala lindoni
Kama una nia hiyo nitafute wasapu
0753466356
Ndugu kama haujaelewa bola ukauliza nikakujibu vizuri.. hii siyo unavyofikili.Mtu wa masoko, unamaanisha wale wanaobebeshwa mabeseni na mnawavesha tai na moka chini au
Zanzibar mabasha kibao. Karibu SanaZanzibar sina ndg yyte nitafikia wap
Karibu dear 0717228733Msaada waungwana