Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

TISS Hawa ajiri watu kwa matangazo ya kazi wanamfuatilia mtu wanamchunguza mwisho wanamuita na kum offer kazi

Na sio rahisi kuhakiki kama mtu anafanya kazi huko labda uende ofisini kwao makao nakuu uka prove

So watu wanatumia njia hiyo kuwalaghai vijana na kuwatapeli ni utapeli kama utapeli mwingine so kua muangalifu usije kulia
 
TISS wa Tanzania wote ni mbwa koko wakianzia na lile polisi lao eti DG , pumbafu kabisa kazi kutoatoa mavitambulisho bar, kimsingi hawana lolote wanaloliweza trust me , ukiona failures ndio wako kwenye inteligence ujue kuna shida mahala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…