Kazi za viwandani Arusha connection

marundoo

New Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Habari wanajamii forums.

Kwa wakazi wa Arusha mjini na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa ajira na siku na muda wa kwenda kuomba kazi pia nini kinahitajika uendapo maeneo hayo

Naomba kuwasilisha
Asanteni
 
Nasubria na mm
 
vipi ulipata connection
 
Nenda A to z kisongo.jichanganye utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…