Kazi zenye changamoto ya kutoboa

Nakubaliana na maandiko hayo
 
Leo atakuwa mlinzi kesho atakuwa ....hahaha kazi izo ni kufanya kwa muda na mshahara wake usitumie uhifadhi kufanya jambo jingine
 
Sawa ila ni uswahilini sana bora angetafuta kiwanja Kibaha

Kuishi uswazi ni ujinga kama ujinga mwinginr
​
Uzuri wa JF kila mtu ni TAJIRI anaishi USHUANI na sio mswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu Tandika kuna watu wanamajumba yao ya kuishi baadhi ya nyumba Masaki na Obey wanasubiri

USIKARIRI MAISHA MKUU
 
Uzuri wa JF kila mtu ni TAJIRI anaishi USHUANI na sio mswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu Tandika kuna watu wanamajumba yao ya kuishi baadhi ya nyumba Masaki na Obey wanasubiri

USIKARIRI MAISHA MKUU
Ukweli utabaki palepale kwa mtu anayejielewa hawezi kujenga Tandika​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…