Kazi zinasimama, Wototo wanatoroka mashuleni, shangwe kila kona…Siku kama ya Leo Gaucho anatwaliwa na AC Milan

Kazi zinasimama, Wototo wanatoroka mashuleni, shangwe kila kona…Siku kama ya Leo Gaucho anatwaliwa na AC Milan

Kuna world cup England waliiombea Brazil ishinde ili wakutane robo fainali.

Kilichotokea ni faulo katikati ya uwanja pembeni, golikipa ni Bruce wa England, mpigaji faulo ni Gaucho upande wa Brazil, hakuna binadamu yeyote chini ya jua aliyejuwa Gaucho anataka kufanya nini filimbi ya faulo ilivyopulizwa Gaucho anaupeleka mpira moja kwa moja wavuni huku kipa Bruce akiwa ameliacha goli hakuna anayeamini kama kuna binadamu mwenye uwezo ule.

Brazil wanakwenda nusu faili England hawaamini kama Gaucho ni binadamu au jini?
🤣😂🤣😂
 
Back
Top Bottom