BB_DANGOTE
Senior Member
- Sep 25, 2023
- 167
- 148
Habar za saiz wakubwa..
Akili bandia (kwa Kiingereza: Artificial Intelligence, AI) ni teknolojia inayohusisha utengenezaji wa mashine au mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo kwa kawaida zinahitaji akili ya binadamu. Hii ni pamoja na kujifunza (machine learning), kufanya maamuzi, kutambua sauti, kuona (computer vision), na kutatua matatizo.
Lengo la AI ni kuunda mifumo inayoweza kufikiri, kujifunza kutoka kwa uzoefu, na kutekeleza majukumu kwa ufanisi kama binadamu au hata zaidi
.
Basi baada ya kueleza maana na lengo la AI ss zifuatazo ndio kazi maarufu zinazoenda kupotezwa kabisa na AI..
1. Kazi za Utawala na Ofisi (ADMINISTRATIVE AND CLERICAL WORK)
Kuingiza na Kusimamia (DATA ENTRY AND MANAGEMENT ):
Zana za AI kama OCR zinaweza kukusanya na kusimamia data kwa urahisi.
Huduma kwa Wateja (CUSTOMER SUPPORT): Chatbots zinazotumia AI zinaweza kushughulikia maswali na kusaidia wateja.
2. Sekta ya Afya (HEALTHCARE)
Radiolojia na Uchunguzi(RADIOLOGY AND DIAGNOSIS):
Mifumo ya AI huchambua picha za X-ray na MRI kwa haraka na usahihi.
Wasaidizi wa Afya wa Kidijitali (VIRTUAL HEALTH CARE ASSISTANT):
AI hutoa mashauriano ya awali ya matibabu na ufuatiliaji Kwa usahihi ZAIDI ya binadamu.
3. Utengenezaji wa Bidhaa (MANUFACTURING)
Kazi za Mstari wa Uzalishaji(ASSEMBLY LINE WORK):
Roboti zinazoendeshwa na AI hufanya kazi zinazojirudia kwa usahihi mkubwa.
Udhibiti wa Ubora(QUALITY CONTROL):
AI hutumia teknolojia ya kuona ili na kufanya Kwa ubora zaidi ya binadamu..
4. Huduma za Kifedha(FINANCIAL SERVICE)
Uuzaji wa Hisa(STOCK TRADING): Algoriti zinaendesha biashara za hisa kwa kutumia mifano ya AI.
Kugundua Udanganyifu(FRAUD DETECTION ):
AI hutambua shughuli zisizo za kawaida.
Uhasibu(ACCOUNTING): Programu za AI hufanya mahesabu ya fedha na kodi. ( bookkeeping na tax collection)
5. Sekta ya Sheria (LEGAL INDUSTRY)
Uhakiki wa Nyaraka(DOCUMENT REVIEW): AI huchanganua nyaraka za kisheria kwa data muhimu.
Utafiti wa Kisheria(LEGALLY SEARCH): Zana za AI hufanya mchakato wa ugunduzi kuwa rahisi....
6. Uandishi wa Habari( JOURNALISM AND NEWS REPORTING)
Kuandika Habari Moja kwa Moja: AI huandika ripoti kuhusu matukio ya kawaida kama matokeo ya michezo, masoko ya fedha, na hali ya hewa.
Wakubwa hizi ni baadhi TU Kwa Hy jitadhimin mapema ndugu yangu Kwa wale ambao ndo mpo chuo mnasoma vitu kama Ivo na vya logistics try to thing big.. ...
Prepared by
broadcaster engineer..
your welcome