Kazi zinazoenda kupotezwa kabisa na akili bandia (Artificial Intelligence) soon

Kwa Tanzania hii bado sanaaa ikiwa tu lilinunuliwa boti la kukaribisha wageni bungeni likawa hata halijui jina lake au lugha linayopaswa kuzungumza.
Kwan Tanzania atuja Anza kutumia Chat gpt na AI nyingine..
 
Hivi wizara ya Nape ndio ilikuwa inahusika na Lile roboti ama?
 
Kwan Tanzania atuja Anza kutumia Chat gpt na AI nyingine..
Yes tunatumia but kwa mwendo wa nchi fanano na Tanzania kufikia viwango vya technology hiyo kama wenzetu wanaotumia leo siyo kizazi chako wewe ni kizazi cha mjukuu wako.

Kwa maneno mengine siyo wewe wala mwanao utakaemzaa atakaeshuhudia haya
 
Kasikilize speech ya Jensen Huang CEO wa INVIDIA na Elon musk utaelewa zaidi Nini kinakuja kutokea
 
Sijui unanielewa???Mimi sikatai hayo kuwepo nachosema mimi kwa Africa especially Tanzania hatujafika huko na hatufiki leo wala kesho.

Kwa kizazi chetu hiki na kinachofuata hakuna la kututisha ktk hii teknolojia ukitaka kunielewa kwa wepesi tizama sisi na sgr yetu na wazungu train mfano wa hii ya kwetu wenzetu wameacha kuita yenye kasi miaka zaidi ya thelathini nyuma sisi hapa ndiyo tunaiona ya kasi na umeme wenyewe mtihani.
 
Mahakama ilizindua matumizi ya akili bandia mahakamani lakini hadi leo hakuna utakelezaji.
Bado mahakimu wanaandika hukumu za kizungu badala ya kiswahili.
Tanzania bado tunasafari ndefu sana, kinacho semwa na kinacho fanyika ni tofauti kabisa.
 
Kwa hawa ndugu zetu Auditors na watu wa Risk Management haiwahusu hii sio?
 
Sijui unanielewa???Mimi sikatai hayo kuwepo nachosema mimi kwa Africa especially Tanzania hatujafika huko na hatufiki leo wala kesho.

Kwa kizazi chetu hiki na kinachofuata hakuna la kututisha ktk hii teknolojia ukitaka kunielewa kwa wepesi tizama sisi na sgr yetu na wazungu train mfano wa hii ya kwetu wenzetu wameacha kuita yenye kasi miaka zaidi ya thelathini nyuma sisi hapa ndiyo tunaiona ya kasi na umeme wenyewe mtihani.
Ooh ni sawa kbs lkn Cha ZAIDI kujua AI ina operate kama software Kwa Hy implementation zake ni rahisi sana ukicompare na vitu hardware kama izo treni za umeme
 
Kwa hawa ndugu zetu Auditors na watu wa Risk Management haiwahusu hii sio?
Watu wa risk management iii Ina wahusu pia Kwa sababu AI ina uwezo wa ku analyze large volume of data to detect risk more quickly and accurate than traditional methods..
 
Back
Top Bottom