Dawa ni kujufunza kuwa mbele ya wakati ni kusoma hizo course za AI na machine learning mapema kabisa,hasa kwa accountants, auditors,legal officers,land officers, financial traders and analysts na hata entrepreneurs,wahi sasa pale mjini udemy and coursera ukajipatie hizo course kwa Bei rahisi tu kati ya Dola 10 Hadi Dola 100 utakuja kunishukuru baadae.