Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
kitu pekee cha kumkomboa mtu dunia ya sasa ni kuishi potential yake , kipaji chake baaaasi.Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo.
Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi, Biashara n.k; sasa tueleze, katika hiyo fani yako unaweza kufanya nini cha ajabu ili Dunia ijue, ulichokisomea unakitendea haki?
Wengi tunakimbilia kwenye koneksheni,uchawa n.k kwa sababu tulienda shule na hatujui tulichokisomea.
Kama wewe unaelewa ulichokisomea shuleni/vyuoni, tuonyeshe kwa vitendo unaweza kufanya nini cha ajabu, ambacho mtu wa darasa la saba hawezi kufanya.
Karibuni kwa mjadala.
Nakula Maisha silali njaa 🐒Wengi tumeenda vyuo tukasoma na kutunukiwa vyeti mbalimbali; ila ukiulizwa hiyo fani ulioisomea unatakiwa ufanye nini, unashindwa kujieleza au kuonyesha kwa vitendo namna elimu ulioipata huko vyuoni inavyoweza kutatua changamoto zilizopo.
Mwingine atasema nimesomea IT, Computer sayansi, Biashara n.k; sasa tueleze, katika hiyo fani niyako unaweza kufanya nini cha ajabu ili Dunia ijue, ulichokisomea unakitendea haki?
Wengi tunakimbilia kwenye koneksheni,uchawa n.k kwa sababu tulienda shule na hatujui tulichokisomea.
Kama wewe unaelewa ulichokisomea shuleni/vyuoni, tuonyeshe kwa vitendo unaweza kufanya nini cha ajabu, ambacho mtu wa darasa la saba hawezi kufanya.
Karibuni kwa mjadala.
Oyaaaaaa nisubiri 🏃🏃🏿🏃🏿♂️Nduki [emoji125]
Na matokeo yake, anakuwa na cheti na hajui alichokisomea anatakiwa afanye niniBongo kipindi cha nyuma mzazi ndo anachaguwa usomee nini daah ni tatizo kubwa wengine walisoma kozi ambazo sio chaguo kwao.
Degree ni karatasi tu, ili iwe na maana zaidi lazima ufanye maajabu ambapo la saba hawezi kufanya na dunia ikasema YESHizi ni dharau una compare mwenye Degree na Standard 7, kweli bro?
Vyuo vingi vyenye muundo wa kada ya kati, angalau vinajitahidi kuwapa ujuzi vijana wao; ata akihitimu anajua anaenda kufanya nini.Nilichosomea nakifanya
Asante CHUO CHA MAJI WI
Nenda pale hospitali na hiyo elimu ya darasa la saba ukafanye kazi ya upasuaji wa moyo.darasa la saba si shule kwani naona kama umeikebehi
kwaiyo wote tupasue moyoNenda pale hospitali na hiyo elimu ya darasa la saba ukafanye kazi ya upasuaji wa moyo.
Na wengi hawataki kuukubaliUkweli mchungu
Rudi kwenye madakwaiyo wote tupasue moyo
kutakalika kweli
tuendele na mjadalaRudi kwenye mada
Una maoni gani kwenye mada?tuendele na mjadala