KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

Sikuwa najibizana nawe humu ,wala hauna haja ya kulinukuu bandiko langu tena sina haja ya kujibizana nawe kamwe, muondoe mwanao Kenya, hukulazimishwa kumleta huku,ila mind your business Mr.
 
Huwa sizisomi takataka zako humu..............pass,ignore,circumvent,crush,trash,throw out into the dustbin....garbage in ,garbage out.
 
Sasa mimi na wewe nani anayejiabisha?!

Mwanzoni umetoa data za 1/2 mwaka vs robo mwaka!!

Umehangaika sana ku-Google, ukaishia kuleta data za misimu miwili tofauti lakini bado unataka kuzitumia kupima ufanisi!!

Mbaya zaidi hujui hata suala la second quarter!!!

Halafu bado unasema najiabisha wakati hata mtoto wa darasa la pili akisoma unachoandika anajua kabisa hamna kitu!!!

Yaani hadi tayari unaonesha wazi wala hujui ulikuwa unajaribu kujadili nini!
 
Hoja yako ni gani sasa? Kuwa benki za Tanzania zinamke faida mingi kuliko KCB? 🤣 🤣 🤣
 
Aibu ulioje!!!
Watakuambia uchumi unamilikiwa na wabeberu. This phrase huwa inawaondolea machungu as they lick their wounds 😂 😂
Poor souls 😂
Hata huku Lissu anayatoa makamasi yamesalia kusema katumwa na mabeberu,pumbavu sana huwa hayataki kuambiwa ukweli au kukosolewa ili yajitathmini
 
Kuna bank za Tanzania zipo Kenya, apart from Bank M yenye ilimerge na equatorial bank kuna gani ingine?
 
Heheheheheeee umeongea kwa hisia sn na co kiuweledi, nimekwambia financial sectors Kenya haina mchango mkubwa kwa mkenya cz faida kubwa inaenda kwa beberu cz ndiye atleast alijitahidi kuwajengea visehemu sehemu pale Nairobi, but kutokana na ukweli kwamba Wakenya wengi hamna uzalendo na akili ya kutosha mmeshindwa kuendeleza pale beberu ameishia mmebaki kuongopewa na beberu interms of paper gdp zen mnapiga kelele ilihali tunajua life mnaloishi.

Angalia maisha yenu halisi hapa chini na ubishe kutokana na uzalendo wa kijinga mlionao [emoji116][emoji116]
 
Wewe nishakuzoea, ukishindwa kwa mjadala unaanza kurukaruka.
 
The guy was trying to compare Kenya economy to Tz economy, mind u the term economy is a wide term that's why I challenged him by elaborating the angle that made him to believe that lies.
 
Thanks.
 
You have been saying Tanzanians don't know English, inakuwaje tena unamkataa raia mkenya mwenzako kisa anaongea ukweli?

Mbn humu kuna WaTz wanapingana na nchi yao na tunakausha.
 
You have been saying Tanzanians don't know English, inakuwaje tena unamkataa raia mkenya mwenzako kisa anaongea ukweli?

Mbn humu kuna WaTz wanapingana na nchi yao na tunakausha.
What makes you think he's Kenyan? Because he was "clever" in choosing an "appropriate" username and avatar to use in order to hoodwink headless chickens like you? Some of us are too smart for such stupid gimmicks.

And lastly, ni ukweli gani huyo kilaza mwenzako ameongea? I gave him a taste of his medicine by giving him facts from WB and he hasn't quoted me since.
 
Kcb Tanzania ni kadogo sana. Hakaleti faida sana. Si unajua tu nyie malazy huwa hampendi kufanya biashara.
ati nikadogo, sasa kwanini msikafunge kama hakaleti faida, unajua kana branch mikoa mingapi hapa Tz?
 
Ss utavua wangapi uraia? Wakenya wangapi wanaponda nchi yao kule twitter napo utawavua uraia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…