KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

Ukishaona mtu anaanza kutumia meneno kama haya yako, jua huyo kashalemewa. But kusema tu ukweli, Tanzania will never be ahead of Kenya, come rain come sunshine.
If CCM looses election it will be possible to overtake kenyan, but with ccm in power Tz shall never be ahead of kenya . You know what, a lot of money goes to unnessesary expenditure. it is believed that Tz is where it is (poverty situation) because of ccm politics.
 
Hizo faida mnazopata zinaenda wapi kwani???maana kila Kitu mnakopa mixer hamna hata hela ya kulipa baadhi ya watumishi Kwenye sector mhimu
Hizo faida zinatumika kuendeleza nchi. Hua mnalia humu kuhusu deni ya Kenya ila msichojua ni kuwa karibu nusu ya deni ya Kenya inamilikiwa na benki za Kikenya. Yaani INTERNAL BORROWING.

Can that be said of Tanzania? Of course nina uhakika GOT pia hufanya internal borrowing, but I can bet most of your debt is owed to foreign lenders.

Fanyeni research muache kuonyesha mlivyo mbumbumbu hadharani.
 
Nadhani aliyepost hii hajui faida za bank zinapatikana vp, na translation yake kwa customer/country
Actually, this figures says the TZ interest rates are so low for all these banks to have so little profit. and this translates to he affordable loans offered by TZbanks in comparison to Kenyan banks. You can summarize this also by having profits from other neighbouring countries and see how the bank profits from their customer.
 
Back
Top Bottom