Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Sijui. Wewe unajua?ati nikadogo, sasa kwanini msikafunge kama hakaleti faida, unajua kana branch mikoa mingapi hapa Tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui. Wewe unajua?ati nikadogo, sasa kwanini msikafunge kama hakaleti faida, unajua kana branch mikoa mingapi hapa Tz?
Nimesikia hii leo wakenya wanalalamika hawana ada ya kurejesha watoto shuleTatizo ni umasikini uliokidhiri huko bongo
If CCM looses election it will be possible to overtake kenyan, but with ccm in power Tz shall never be ahead of kenya . You know what, a lot of money goes to unnessesary expenditure. it is believed that Tz is where it is (poverty situation) because of ccm politics.Ukishaona mtu anaanza kutumia meneno kama haya yako, jua huyo kashalemewa. But kusema tu ukweli, Tanzania will never be ahead of Kenya, come rain come sunshine.
Hizo faida zinatumika kuendeleza nchi. Hua mnalia humu kuhusu deni ya Kenya ila msichojua ni kuwa karibu nusu ya deni ya Kenya inamilikiwa na benki za Kikenya. Yaani INTERNAL BORROWING.Hizo faida mnazopata zinaenda wapi kwani???maana kila Kitu mnakopa mixer hamna hata hela ya kulipa baadhi ya watumishi Kwenye sector mhimu