KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

For those who have been preaching how the Kenyan economy has been dying, please come and see this. joto la jiwe and Geza Ulole .

In 2020, Kenya went into lockdown but Tanzania didn`t attempt such a thing. With that logic, Tanzanian banks should be performing better than Kenyan banks since they were working and going on with their daily business. But to my surprise, Kenyan banks performed better than Tanzanian banks by a big margin. In fact, one Kenyan bank scooped more profits than what all the Tanzanian banks got.

Half-year results of KCB Bank were 7.6 billion Kenyan shillings https://kcbgroup.com/wp-content/upl...p-PLC-Press-Release-Q2-2020-Results-Final.pdf, KCB bank half-year profit tumbles by 40 pc , this is more than what CRDB Bank(Tsh33.5b), NMB Bank(Tsh44.8b), National Bank of Commerce (NBC)(Tsh3.39b), Stanbic Bank(Tsh20.4b), Standard Chartered(Tsh6.25b), Absa(Loss of Tsh3.4b), Diamond Trust Bank(Tsh4.2b), Exim Bank(Tsh4.1b), Azania Bank(Loss of Tsh247m) and the latest member in the industry, TPB Bank(Tsh3.7b) got all together which was 5.87 billion Kenyan shillings or 125.44 billion Tanzanian shillings.

Tanzania: Top Tanzanian Banks' Profits Up Despite Covid-19 Pandemic
Na mangers wengi wa kcb walio kwenye matawi ya Tanzania ni wa Tz guys muwe na aibu kidogo kujisifia pasipo na ukweli, juzi mlima Kilimanjaro umewaka moto mmeripoti bbc mlima wenu unawaka moto wakati Tz ndiyo tunapambana kuuzima mlima upo Tanzania acheni kuiba hata mali asili zetu na kujinadi kimataifa ni vyenu
 
Equity Bank 9b profit, top 10 banks in Tanzania 5b. Hii kama sio aibu ni nini?
 
Tumeshalipwa siku nyingi tu, tumeongezewa hadi nyongeza ya mazingira magumu(covid-19) yaani hardship allowance na mengine....ahsante.
Mnajifanya wajuaji wakenya, ndiyo maana corona bado hamjui namna ya kuikabili na mtaenda lockdown mpaka mwakani, ona sasa shule zote zitafungua mwakani, nina mtoto anasoma huko amekaa nyumbani mpaka nashangaa ni taifa gani halina strategies za kukabila majanga poor kenyans
 
Sasa hoja yako kcb imefanaya vizuri kuzizidi bank nyingine za Tanzania in terms of profit sasa pamoja na kenya kuwa lockdown sasa huoni umejisahau kuwa KCB ina matawi Tanzania tena mengi na Tanzania huku biashara na shughuli zingine ziliendelea pamoja na kenya na baadhi ya nchi za Afrika mashariki kuwa kwa lockdown kwa muda mrefu,
Faida yenye KCB ilipata Tanzania hata haijafika 200 million Kenyan shillings.
 
Na mangers wengi wa kcb walio kwenye matawi ya Tanzania ni wa Tz guys muwe na aibu kidogo kujisifia pasipo na ukweli, juzi mlima Kilimanjaro umewaka moto mmeripoti bbc mlima wenu unawaka moto wakati Tz ndiyo tunapambana kuuzima mlima upo Tanzania acheni kuiba hata mali asili zetu na kujinadi kimataifa ni vyenu

si ulete hizi nyuzi humu ndani tuwacharure ati wamesema Mt Kilimanjaro mlima wao?
 
In which perspective do you look at the word economy? GDP numbers? Government efficiency in performing its obligation to its citizens? If the former is the case, what about debt to GDP ratio? Can GDP act as a good defn of bigger economy while at the same time the country's debt to GDP ratio rises to red ink?

Don't you believe that GDP is just a number? If u don't just look at the majority citizens style of living and then go through making a comparison between Tz and Kenya.

And if the latter is the case, what about these two countries Govt efficiencies? The one can't even satisfy its citizens with food, so do you still believe that GDP is the good factor to make a comparison? What does it mean?

Btw, you started by rating yourself that you know a little bit of economy so it admits of no doubt that you are somehow a layman of economy.

Ndio maana huwa vigumu kujadili na wewe hoja yoyote, umemsoma mwenzako alichoandika na kumuelewa kabla haujaanza kuandika majibu, wewe umekimbilia kwenye GDP japo na yenyewe tumewahenyesha, ila yeye amezungumza kuhusu volume of business, port throughput, revenue collection zote ambazo hamjafikia hata nusu yetu.
 
Mnajifanya wajuaji wakenya, ndiyo maana corona bado hamjui namna ya kuikabili na mtaenda lockdown mpaka mwakani, ona sasa shule zote zitafungua mwakani, nina mtoto anasoma huko amekaa nyumbani mpaka nashangaa ni taifa gani halina strategies za kukabila majanga poor kenyans
Kenya wakienda lockdown KCB inapata faida ya 7b in six months.
 
si ulete hizi nyuzi humu ndani tuwacharure ati wamesema Mt Kilimanjaro mlima wao?
Hawa jamaa wanachokijua zaidi kujibebesha sifa zetu, yani kila kilicho Tanzania ni chao, mlima Kilimanjaro wanaulilia usiku mchana ni wao, nimejiuliza hata hilo janga la moto juzi tunaofanya jitihada kuuzima ni sisi lakini wao tayari wameshaenda mbali zaidi kwenye vyombo vya habari wakisema moto unawaka kwenye mlima wao, yani inatia aibu sana
 
Equity Bank 9b profit, top 10 banks in Tanzania 5b. Hii kama sio aibu ni nini?
EQUITY BANK pia ina matawi Tanzania tena kila region sasa mnachojivunia hiyo TURNOVER amabyo imechagizwa na vipato vya watanzania ambapo uchumi wetu haujasimama kama wenu na tunaendelea kuzalisha, mnafikiri sisi watanzania ni kama nyie mmejawa na UKABILA na UBAGUZI, huko kenya hata sisi tuna baadhi ya bank zetu zina matawi huko lakini mnazisusia hata kufungua account huko mnaona ni heri mfungue acc kwenye bank zenu yani nyie watu ni WABINAFSI sana watu wa ajabu sana nyie
 
Kenya wakienda lockdown KCB inapata faida ya 7b in six months.
Hebu achaneni na lockdown hivi hamuwezi kuwa njia/mbinu nyingine za kupambana na janaga la covid maana mmefunga mashule mwaka unaisha huu tangu Aprili nina mtoto anasoma huko mmeingiwa na hofu watoto hawaende hata shule watoto vichwa vinapata kutu tu, mnajiita taifa kubwa ila mmepwaya sana kwenye kulikabili hili janga, mmebaki kuiga vitu kwa magufuli tu, sisi huku hatuvai tena mask na shughuli zetu zinaendelea kama kawa, mnakuja na huja ya mabank muwe na aibu
 
Half-year results of KCB Bank were 7.6 billion Kenyan shillings https://kcbgroup.com/wp-content/upl...p-PLC-Press-Release-Q2-2020-Results-Final.pdf, KCB bank half-year profit tumbles by 40 pc , this is more than what CRDB Bank(Tsh33.5b), NMB Bank(Tsh44.8b), National Bank of Commerce (NBC)(Tsh3.39b), Stanbic Bank(Tsh20.4b), Standard Chartered(Tsh6.25b), Absa(Loss of Tsh3.4b), Diamond Trust Bank(Tsh4.2b), Exim Bank(Tsh4.1b), Azania Bank(Loss of Tsh247m) and the latest member in the industry, TPB Bank(Tsh3.7b) got all together which was 5.87 billion Kenyan shillings or 125.44 billion Tanzanian shillings.

Tanzania: Top Tanzanian Banks' Profits Up Despite Covid-19 Pandemic
Haki ya Mungu Wakenya wengi ni vilaza!!

Unaposhindwa kufanya reference kwa kutumia actual data inaonesha wazi kwamba hujui hata unachojadili nini!!!

Repoti ya KCB Group inasema wazi kwamba, "KCB Group Plc posted KShs.7.6 billion in after-tax profits for the first six months of 2020,"

Pamoja na hayo, bado unalinganisha na ripoti ambayo uliyoweka mwenyewe kutoka media yenu wenyewe inayosema "NMB Plc increased its quarterly net profits by 22.7 percent to Sh44.8 billion at the end of June 2020 compared with Sh36.5 billion recorded during similar period in 2019. CRDB Bank also improved its profitability by five percent, to Sh35.1 billion from Sh33.5 billion."

Yaani Report ya Nusu Mwaka ya Kenya unailinganisha na Ripoti ya Robo Mwaka ya Tanzania!!!

What's wrong with you guys?!

Ni kwamba Kiingereza huwa kinawapa shida pamoja na tambo zenu au ni namba ndo zinawapa shida kutokana na elimu duni mnayopewa mashuleni?!

No wonder Mzee Ngugi kaenda zake Ulaya kaamua kukipiga Kikuyu kuliko kudhalilika kwa mambo madogo madogo!!!
 
Sasa mbona hiyo KCB umetuletea KCB Group badala ya KCB Kenya, Mkumbuke hiyo KCB ipo Tz pia so jaribu Ku minus
 
Kwaiyo Benki moja ndyo inawakilisha uchumi wa nchi au inadetermine overall Kama nchi haianguki.

Ishu hapa s Kenya kuporomoka ishu n kua Tanzania inakua so fast na unakuja kuovertake Kenyan economy
Pia tuna Equity bank ambayo ni kubwa tu kama KCB.
 
Ukiongelea kodi hilo suala tulishalizungumza kwamba makato kwa Kenya ni makubwa ukilinganisha na Tz ss hapo unategemea iweje, makato ya kodi kwa kenya ndiyo yanayofanya majority of Kenyans kuishi maisha magumu kuliko watanzania hilo nalo unabisha?
Ndio makato ya Kenya ni kubwa kushinda yenu ila pia uchumi wa Kenya ni mkubwa kushinda wenu ama hilo pia unapinga?
 
Ukiongelea kodi hilo suala tulishalizungumza kwamba makato kwa Kenya ni makubwa ukilinganisha na Tz ss hapo unategemea iweje, makato ya kodi kwa kenya ndiyo yanayofanya majority of Kenyans kuishi maisha magumu kuliko watanzania hilo nalo unabisha?
Hehe. Halafu mbona umejibu kwa unyonge sana? Nilitegemea upinge kama kawaida yenu ila naona umekubali.
 
Haki ya Mungu Wakenya wengi ni vilaza!!

Unaposhindwa kufanya reference kwa kutumia actual data inaonesha wazi kwamba hujui hata unachojadili nini!!!

Repoti ya KCB Group inasema wazi kwamba, "KCB Group Plc posted KShs.7.6 billion in after-tax profits for the first six months of 2020,"

Pamoja na hayo, bado unalinganisha na ripoti ambayo uliyoweka mwenyewe kutoka media yenu wenyewe inayosema "NMB Plc increased its quarterly net profits by 22.7 percent to Sh44.8 billion at the end of June 2020 compared with Sh36.5 billion recorded during similar period in 2019. CRDB Bank also improved its profitability by five percent, to Sh35.1 billion from Sh33.5 billion."

Yaani Report ya Nusu Mwaka ya Kenya unailinganisha na Ripoti ya Robo Mwaka ya Tanzania!!!

What's wrong with you guys?!

Ni kwamba Kiingereza huwa kinawapa shida pamoja na tambo zenu au ni namba ndo zinawapa shida kutokana na elimu duni mnayopewa mashuleni?!

No wonder Mzee Ngugi kaenda zake Ulaya kaamua kukipiga Kikuyu kuliko kudhalilika kwa mambo madogo madogo!!!
Sasa tangu lini June kukawa quater of a year? Wewe tafuta mwalimu wa shule ulienda akakurudishia fee juu hakuna ulichotoka nayo huko.
 
Back
Top Bottom