KCB half-year profit is more than the combined profits of top ten Banks in Tanzania

Aibu ulioje!!!
Watakuambia uchumi unamilikiwa na wabeberu. This phrase huwa inawaondolea machungu as they lick their wounds [emoji23] [emoji23]
Poor souls [emoji23]
Hiyo inajulikana na hivo kwa nchi ambayo Ina mfumo wa hypercapitalism

Ndo wanachoshindwa marekan Sasa kaa China.
 
Hapana. Alichosema ni ukweli. Mombasa port inapitisha mizigo mingi kushinda port zenu. KRA inakusanya mara dufu ya ushuru ambayo lazy TRA inakusanya. Jamaa ameongea facts.
Ukiongelea kodi hilo suala tulishalizungumza kwamba makato kwa Kenya ni makubwa ukilinganisha na Tz ss hapo unategemea iweje, makato ya kodi kwa kenya ndiyo yanayofanya majority of Kenyans kuishi maisha magumu kuliko watanzania hilo nalo unabisha?
 
Kwaiyo Benki moja ndyo inawakilisha uchumi wa nchi au inadetermine overall Kama nchi haianguki.....

Ishu hapa s Kenya kuporomoka ishu n kua Tanzania inakua so fast na unakuja kuovertake Kenyan economy
Nikilist profits za banks kumi za Kenya alafu nilinganishe na banks kumi bora za Tanzania mtaaibika hapa.
 
Hata iweje kenya kamwe haiwezi kuwa km Tz cz Tanzaniania inajengwa na mTz na pesa yote asilimia kubwa inabaki Tz na ndiyo maana unaona tofauti ya kimaisha baina ya WaTz na Wakenya na ndiyo maana unaona serikali yenu inakopa mpk pesa ya madawati cz ur economy is not inclusive like ours.

So hata iweje Tz itabaki kuwa juu cz kdg ikipatacho directly kinaenda kusaidia wananchi tofauti na kenya asilimia kubwa ya pesa inakwenda kwa beberu na kinachobaki ndo mnagawana wananchi na wanasiasa.
 
Pia usisahau leo kunako mchana GoT inakwenda kupokea karibia bilioni 100 from barrick kutokana na madini najua mtapewa taarifa na vyombo vyenu vya habari so stay tuned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Half-year profits of top 3 perfoming banks in Kenya.
1. EQUITY BANK 9B
2. KCB 7.6B
3. CO-OPERATIVE BANK 7.2B
Haina maana yoyote ikiwa pesa haiendi kusaidia mkenya directly [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hata iweje kenya kamwe haiwezi kuwa km Tz cz Tanzaniania inajengwa na mTz na pesa yote asilimia kubwa inabaki Tz na ndiyo maana unaona tofauti ya kimaisha baina ya WaTz na Wakenya na ndiyo maana unaona serikali yenu inakopa mpk pesa ya madawati cz ur economy is not inclusive like ours.

So hata iweje Tz itabaki kuwa juu cz kdg ikipatacho directly kinaenda kusaidia wananchi tofauti na kenya asilimia kubwa ya pesa inakwenda kwa beberu na kinachobaki ndo mnagawana wananchi na wanasiasa.
Maneno bila facts sio tofauti na kunyamba mnyambo bila harufu. Kenya inakopa wakati Tanzania wanaonewa huruma na kupewa grants and donation. Tanzania inajengwa na wahindi na Pesa zote zinaenda India ndio maana bank moja ya Kenya inatengeneza profits mingi kuliko benki kumi za Tanzania. Show me any link inayoonyesha kuwa Tanzania iko juu ya Kenya in anything tofauti na mambo za chakula, uchawi, omba omba na umaskini.
 
Pia usisahau leo kunako mchana GoT inakwenda kupokea karibia bilioni 100 from barrick kutokana na madini najua mtapewa taarifa na vyombo vyenu vya habari so stay tuned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
That`s like 4 billion Kenyan shillings, do you know what Kenya got last year from Tallow ? 200 billion Kenyan shillings.
 
Maneno bila facts sio tofauti na kunyamba mnyambo bila harufu. Kenya inakopa wakati Tanzania wanaonewa huruma na kupewa grants and donation. Tanzania inajengwa na wahindi na Pesa zote zinaenda India ndio maana bank moja ya Kenya inatengeneza profits mingi kuliko benki kumi za Tanzania. Show me any link inayoonyesha kuwa Tanzania iko juu ya Kenya in anything tofauti na mambo za chakula, uchawi, omba omba na umaskini.
Najua unajifurahisha tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
That`s like 4 billion Kenyan shillings, do you know what Kenya got last year from Tallow ? 200 billion Kenyan shillings.
Fuatilia ujue hyo ni pesa ya nn zen kuhusu suala la madini usijisumbue kabisa cz Tz ndiyo inayofanya vzr kwa ss kwa ukanda, nikikutajia inaingiza pesa ngp per annum utalia humu [emoji3][emoji3]
 
Hizo pesa za madini zinaenda kwa beberu. Nyinyi mnabaki tu na hiyo 4 billion, hakuna kitu ingine hapo. No wonder Tanzania is the poorest country in the region.
 
For those who have been preaching how the Kenyan economy has been dying, please come and see this. joto la jiwe and Geza Ulole .

In 2020, Kenya went into lockdown but Tanzania didn`t attempt such a thing. With that logic, Tanzanian banks should be performing better than Kenyan banks since they were working and going on with their daily business. But to my surprise, Kenyan banks performed better than Tanzanian banks by a big margin. In fact, one Kenyan bank scooped more profits than what all the Tanzanian banks got.

Half-year results of KCB Bank were 7.6 billion Kenyan shillings https://kcbgroup.com/wp-content/upl...p-PLC-Press-Release-Q2-2020-Results-Final.pdf, KCB bank half-year profit tumbles by 40 pc , this is more than what CRDB Bank(Tsh33.5b), NMB Bank(Tsh44.8b), National Bank of Commerce (NBC)(Tsh3.39b), Stanbic Bank(Tsh20.4b), Standard Chartered(Tsh6.25b), Absa(Loss of Tsh3.4b), Diamond Trust Bank(Tsh4.2b), Exim Bank(Tsh4.1b), Azania Bank(Loss of Tsh247m) and the latest member in the industry, TPB Bank(Tsh3.7b) got all together which was 5.87 billion Kenyan shillings or 125.44 billion Tanzanian shillings.

Tanzania: Top Tanzanian Banks' Profits Up Despite Covid-19 Pandemic
Sasa hoja yako kcb imefanaya vizuri kuzizidi bank nyingine za Tanzania in terms of profit sasa pamoja na kenya kuwa lockdown sasa huoni umejisahau kuwa KCB ina matawi Tanzania tena mengi na Tanzania huku biashara na shughuli zingine ziliendelea pamoja na kenya na baadhi ya nchi za Afrika mashariki kuwa kwa lockdown kwa muda mrefu,
 
For those who have been preaching how the Kenyan economy has been dying, please come and see this. joto la jiwe and Geza Ulole .

In 2020, Kenya went into lockdown but Tanzania didn`t attempt such a thing. With that logic, Tanzanian banks should be performing better than Kenyan banks since they were working and going on with their daily business. But to my surprise, Kenyan banks performed better than Tanzanian banks by a big margin. In fact, one Kenyan bank scooped more profits than what all the Tanzanian banks got.

Half-year results of KCB Bank were 7.6 billion Kenyan shillings https://kcbgroup.com/wp-content/upl...p-PLC-Press-Release-Q2-2020-Results-Final.pdf, KCB bank half-year profit tumbles by 40 pc , this is more than what CRDB Bank(Tsh33.5b), NMB Bank(Tsh44.8b), National Bank of Commerce (NBC)(Tsh3.39b), Stanbic Bank(Tsh20.4b), Standard Chartered(Tsh6.25b), Absa(Loss of Tsh3.4b), Diamond Trust Bank(Tsh4.2b), Exim Bank(Tsh4.1b), Azania Bank(Loss of Tsh247m) and the latest member in the industry, TPB Bank(Tsh3.7b) got all together which was 5.87 billion Kenyan shillings or 125.44 billion Tanzanian shillings.

Tanzania: Top Tanzanian Banks' Profits Up Despite Covid-19 Pandemic
Hizo faida mnazopata zinaenda wapi kwani???maana kila Kitu mnakopa mixer hamna hata hela ya kulipa baadhi ya watumishi Kwenye sector mhimu
 
Back
Top Bottom